Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 19,362
- 48,879
Mtu akifa akiwa Rais, inabadilisha nini katika kifo chake?Na yeye alikufa akiwa rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akifa akiwa Rais, inabadilisha nini katika kifo chake?Na yeye alikufa akiwa rais
Kumbukumbu za viongozi wote wa kitaifa walioaga dunia zingewekwa katika siku moja tu, yaani wote wakumbukwe katika Sikukuu ya Mashujaa. Hakuna haja ya kuwa na utitiri wa sikukuu nyingi katika nchi maskini kama yetu.Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...View attachment 2526364View attachment 2526379
Kwani Rais kufa akiwa madarakani ni umaarufu?Pokea ushauri huu wenye AKILI.
Waasisi wote nchini waliotangulia mbele za HAKI wanatakiwa kukumbukwa Kwa siku walizozaliwa na Si siku walizofariki.
Hii italeta BARAKA Kwa Nchi.
1. JK Nyerere akumbukwe Kwa siku ya Kuzaliwa kwake.
2. Benjamin Mkapa akumbukwe Kwa siku ya Kuzaliwa kwake.
3. Viongozi wote waliofia madarakani kama KARUME na MAGUFULI yahitaji mjadala wa kitaifa juu ya namna Gani ya kuwakumbuka.
Amen.
Naunga mkono hoja.Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...View attachment 2526364View attachment 2526379
Naunga mkono hoja.Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...View attachment 2526364View attachment 2526379
Hili ombi lielekeze kwa Mstaafu asiyestaafuTunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
Hao tumewapa tunu ya uasisi wa muungano wetu na wapigania uhuru wetu, infact hana hadhi hii tukufu ya kupewa siku.Mpaka Sasa hizo siku umezifanyia nini Cha maana?
Tuishukuru korona kwa kutuletea furaha ya kudumuYaani unataka siku hiyo unataka tupumzike na kunywa bia kwa furaha kumshukuru Mungu kwa wema aliotutendea?
Yaani tuitolee Corona sadaka ya shukrani?
Kiongozi kufia madarakani Si umaarufu,Kwani Rais kufa akiwa madarakani ni umaarufu?
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...View attachment 2526364View attachment 2526379
Mkuu
USA haenziwi Washington tu basi
Hata huku ukiwezekana kuwaenzi wote sawa tu
Naam
Tutashangilia zawadi ya maisha ya magufuli hapa Tanzania 👍
Kwani ikianzishwa nchi ya chato mtapenda??
Kuufanya tu mkoa mmefura kwa wivu na hasira