PENDEKEZO: Rais Samia atangaze rasmi tarehe 17 Machi iwe Sikukuu ya kitaifa kumuenzi Hayati Magufuli

Iwe ni siku ya kuwakumbuka Ben Saanane, Azory Gwanda, Akwilline na waliookotwa kokobichi.
 
Hata wakitangaza mm nitenda kufanya kazi maana yeye alipendelea zaid watu wafanye kazi, kwahyo tumuenzi kwa kufanya kazi tarehe hiyo
 
What about BW Mkapa? Unadhani yeye hastahili kuenziwa?

Wakuwaenzi wabaki kuwa NYERERE na KARUME😎 wanatosha.
Wakuu tutafute hoja zingine kwa afya ya Taifa letu. Jamani wakuu wa kuenziwa katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni JKN na AAK basi, hao ndio Viongozi wao tuletea Uhuru; sasa kama unasheherekea Uhuru kwa nini usiwakumbuke hao walio leta huo Uhuru. Hawa wengine wanapanda ngazi tu iliyo wekwa na hawa Wakuu kwa mpangilio tulio jiwekea. Hawa wazee sio tu walipigania kuleta Uhuru, lakini wafanyakazi zilizo tukuka kwa manufa ya Wananchi, mfano; AAK alijenga nyumba za makazi kwa ajili ya Wananchi wa Zanzibar ambazo wakaa bure, Bwawani Hotel, Kiwanja cha kandanda ambacho unaweza kucheza usiku na miradi msingi. Aidha JKN yeye aliona kwanza wasomi wa Tanganyika wapate kazi kwenye Serkali yao baada ya UHURU, akajenga viwanda vikubwa (sio hivi vya cherehani 4) vingi tu (zaidi ya 300) ili Wananchi wapaye ajira. Aidha vijiji ambavyo vilikuwa na ardhi ya kilimo walipelekewa miradi ya umwagiliaji na matrector bure n.k., mambo aliyofanya ni mengi kwa bajeti iliyotokana na kodi za mazao ya kilimo e.g. pamba, pareto, kahawa na chai. Alikuwa bise hasa kuwatumikia Wananchi wa Tanganyika hadi akasahau kujijengea nyumba yake ya kuishi baada ya kustaafu. Leo nani anaweza?
 
Ulishazaliwa awamu hiyo unayoizungumzia?
 
Back
Top Bottom