Pendekezo: Siku moja WanaJf wote tukutane mahali fulani, siku fulani, haya wote tukubaliane hapa

Lazima watu wakimbiane . Kuna waliojinasibu kama wadada kumbe ni mabibi! kuna waliojinasibu kuwa ni matajiri kumbe ni makapuku wa kutupwa! na mbaya zaidi kuna waiojinasibu kama mabinti warembo kumbe ni LGBT / mabwabwa, nk, nk.
Yaani itakua tafrani tupuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni wazo zuri, ila litafanikiwa kama litaanza ki wilaya, mkoa, au kikanda
 
Kwenye kikao uje umebeba bango kubwa lenye jina lako πŸ˜‚

Cc: Maghayo , The Mongolian Savage
 
JF ina watu laki 6 na point.

Tuseme 10% tu wakubaliane na pendekezo lako. Maana yake ni watu 60,000+.

Utawaweka wapi hao watu?

Nendeni uwanja wa Mkapa. Utawatosha
toa na wale wenye kupata dharura ya kutokuja siku iyo
 
Impossible is nothing..!!
 
Wale wa kuzichapa gloves watapata kwangu!!!
 
Anzisheni familia, tafuteni marafiki ,hii husaidia kuonfoa stress na upweke mlionao. Watu wanatumia fake id, alafu ww hapo hapo kirahisi tu unawaza kukutana nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…