Pendekezo: Siku moja WanaJf wote tukutane mahali fulani, siku fulani, haya wote tukubaliane hapa

Pendekezo: Siku moja WanaJf wote tukutane mahali fulani, siku fulani, haya wote tukubaliane hapa

Lazima watu wakimbiane . Kuna waliojinasibu kama wadada kumbe ni mabibi! kuna waliojinasibu kuwa ni matajiri kumbe ni makapuku wa kutupwa! na mbaya zaidi kuna waiojinasibu kama mabinti warembo kumbe ni LGBT / mabwabwa, nk, nk.
Yaani itakua tafrani tupu😂😂😂
 
Ni wazo zuri, ila litafanikiwa kama litaanza ki wilaya, mkoa, au kikanda
 
Inakuwajeee

Kuna kitu nimekiona hapa
Nimeona sisi Magreat thinkers, matajiri wa Jf kuna haja siku moja tukutane mahali fulani, itakuwa mahali gani? Ndo tukubaliane hapa. Je kila mtu aje na mkoko wake? Ndo wote tukubaliane hapa

Lengo la kukutana huko ni nini hasa?
Ukweli ni kwamba kila mtu ana lake hapa, Kuna waliozimiana hapa hiyo ndio nafasi ya kuchanana face to face, kuna wale wenye bifu kali hapa basi siku hiyo ndio itakuwa ya kuuchapa mkono yani mkono kwelikweli baada ya siku hiyo no bifu tena,
Kuna wale wenye kupendelea kubadilishana mawazo na mtu fulani hiyo pia itakuwa nafasi

Itakuwa wapi mi sijui ndo tukubaliane hapa,
Ningependekeza iwe katika kumbi fulani hivi..
Lakini pia muhimu tusije chekana endapo ukaja muona member fulani kinyume na expectations uliyokuwa nazo
Lakini pia kama itakuwa dar wale wa mkoani washikwe mikono na wenyeji waongozwe vyema ili waje salama na warudi salama

Nb:Muhimu cha kuzingatia, members wasije ingiliana mfano members fulani wanazichapa waache tu kwani hapo ndipo katika kutimiza lengo la hiyo meeting

HAYA TUKUBALIANE HAPA.......

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Kwenye kikao uje umebeba bango kubwa lenye jina lako 😂

Cc: Maghayo , The Mongolian Savage
 
JF ina watu laki 6 na point.

Tuseme 10% tu wakubaliane na pendekezo lako. Maana yake ni watu 60,000+.

Utawaweka wapi hao watu?

Nendeni uwanja wa Mkapa. Utawatosha
toa na wale wenye kupata dharura ya kutokuja siku iyo
 
Impossible! Unataka wengine waondoke na ngeu au wakiwa wamebebwa na defender ya police? Usichukulie poa maoni unayoyatoa ukiwa umejificha! Wengine wanaumia kiasi cha kutaka kukula kichwa! Kuna uadui wa kikabila, kidini, kisiasa! Hivi vitu havijawahi kumuacha mtu salama ukiingia kwenye anga zake!
Impossible is nothing..!!
 
Wale wa kuzichapa gloves watapata kwangu!!!
 
Anzisheni familia, tafuteni marafiki ,hii husaidia kuonfoa stress na upweke mlionao. Watu wanatumia fake id, alafu ww hapo hapo kirahisi tu unawaza kukutana nao.
 
Back
Top Bottom