mwanateknolojia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 1,026
- 1,749
Hata kwa kura, apite bla kupingwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekukomboa nini wewe? Usiwe mjinga kama wazungu walivyopanga 😅😅Sishangai kabisa sisi kutetewa na wazungu, maana hata Yesu mwenyewe ni mzungu, na ndio ametukomboa.
Halafu utakuta wewe ni fala fulani hapo lumumba ambaye hata mil 1 kwa mwezi hupati!mbna hata wewe tunaweza kukutimua tu na chadema wenzako mkakae kama wakimbizi kenya! nchi yetu hii tukiamua kuchakachukua kura zote hatusumbui mtu na tukiamua kukulimbikizia kodi utatufanya nn sasa
Magufuli anawaona wapinzani kama nyoka!Uwe unatumia ubongo kufikiri.Hivi unafahamu kuwa Mzungu anamuona mwafrica kama nyani?
Halafu utakuta wewe ni fala fulani hapo lumumba ambaye hata mil 1 kwa mwezi hupati!
Bwana wenu huyu mpeni naniino tu itamtosha.Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Kwa hiyo we dictator umepata relief kwa sababu marekani wameua hivyo imekuwa justification. KwakoAkienda Marekani akawafungulia kesi kwa kunyanyasa watu weusi ndionitaweza kumtathimini kama anafaa au hafai
It is not a justification, it only shows in the line of duty, these things happen and in all countries. By the way, did you hear the truth from Tundu Lissu. He has done and cannot do anything. All he told you he will do during elections were lies. Here is his truth: Tanzania elections: Why Chadema hasn’t filed a case at the ICCKwa hiyo we dictator umepata relief kwa sababu marekani wameua hivyo imekuwa justification. Kwako
Ni machachara kwa 7bb tu mkate waliokuwa wakiuhonyoa bure kwenye rasilimali za nchi yetu JPM kaunanua kumidomo yao.Kama una akili ya ziada na unaweza kusoma na kutabua muandikaji wa maandishi unayoyasoma, ukifuata style, maneno na misemo yake - utatabua kwamba Amsterdam = Lissu!
Yaani utatambua kwamba Amsterdam hayupo na huyo anayejiita Amsterdam ni Lissu. Kwa hiyo msihangaike, maana - Amsterdam, kupeleka watu barabarani, kupeleka viongozi wetu ICC, kupeleka serikali MIGA, dunia yote inasikiliza na "mmenielewa ndugu zangu"! Yote hayo ni Lissu. Hakuna kitu kinaitwa Amsterdam - ni kutishia nyau! Hivyo hatishi yeyote Amsterdam = Lissu = Amsterdam ni mtu mmoja huyo huyo ni Lissu! .