Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Usubiria upambane na hali yako Sasa.sjawahi kosa haki yangu nchini sasa kwann nisupport wanawake waliokosa hedhi ufipa? i fully support asasinations of traitors!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usubiria upambane na hali yako Sasa.sjawahi kosa haki yangu nchini sasa kwann nisupport wanawake waliokosa hedhi ufipa? i fully support asasinations of traitors!
Fala weweWewe huijui Marekani, Watu weusi ndio wanauawana wao kwa wao zaidi.
Polisi brutality wameuwa zaidi wazungu kuliko walivyouwa watu weusi.
Kinachowasumbuwa watu weusi ni ubaguzi, ona hata Tanzania nchi ya watu weusi usipokuwa ccm unabaguliwa na kuteswa.
Watu weusi ni wabaguzi kuliko wazungu nina ushahidi wa hili kwa 200%
Wewe Muhutu mwisho wenu umefika ni mwendo wa DNA hadi maiti zitafukuliwa muonyeshe vizazi vinne nyuma pumbafuso magu ni dikteta? then thats the type of dictator we want in tz! hatutaki demokrasia yenu
Hakuna viti maaluma Watanzania wanapewa Somo la kutawaliwa na wageni soon litawaingia Xenophobia mtatafuta pa kukimbilia😂 😂 😂 maskini wanalilia viti maaalumu wanatamani vingekua vya wanaume
Labda nishani ya kuandaa mashoga wa kiafricaHuyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Watathubutu hawa kenge??kuna watu wanafunga kwa maombi ila wanachadema wanafunga kuandika post. jitokezeni barabarani kuandamana hamtaki. Ila kwenye kufungua thread mpya tu mpo vizuri, keep it up
Watathubutu hawa kenge??
Hakuna viti maaluma Watanzania wanapewa Somo la kutawaliwa na wageni soon litawaingia Xenophobia mtatafuta pa kukimbilia
Wewe Muhutu mwisho wenu umefika ni mwendo wa DNA hadi maiti zitafukuliwa muonyeshe vizazi vinne nyuma pumbafu
Kwa kupeleka picha za Libya AU akisema ni Tanzania?Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Naiunga mkono hoja hii kwa asilimia mia. Hivyo naiomba Ofisi Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo pale Ufipa iharakishe mchakato huu wa kumpa nishani Bw. Robert Amsterdam!Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Kwa kutetea haki za Mashoga. Au na wewe ni walewale tuanze kukupigia miluzi unapenda kuwatukuza wanaoicheka tamaduni na mila zako ili umuone tamaduni yake na mila yake ndiyo msingi wa kuishi Duniani.Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Ukoloni mkongwe kwenye kichwa.Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Bora mkoloni kuliko CCM.Ukoloni mkongwe kwenye kichwa.
Kila alipoweka mguu waafrika wanauwana halafu unasema shujaa.Huyo muuajiRobert Amsterdam ni shujaa.
Ni mzungu mwema anayeitakia Afrika uongozi bora na siasa safi kwa maana hiyo anaitakia Afrika maendeleo!
Namuunga mkono Robert Amsterdam!
Jinga kweli wakuja unaandika as if nchi ya baba yako.mpuuzi kabisaso magu ni dikteta? then thats the type of dictator we want in tz! hatutaki demokrasia yenu
Hatawasahau Sweden wanavyotaka kumnyoosha wamemlima barua kwa utengenezaji migogoro Afrika .Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.
Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:
"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"
Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.
Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.
Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Pl
Jinga kweli wakuja unaandika as if nchi ya baba yako.mpuuzi kabisa
Wewe ndio mtu wa ovyo sijawahi kuona. Nakosa hata maneno ya kukuelezea. Huyu armsterdam shoga anayelipwa na mabeberu kumtetea lissu kibaraka wao? Armsterdam huyu ni sehemu ya kina acacia wenye hasira na sisi kwa kuwatimua kutunyonya na kutuibia kwenye madiniHuyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.