Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

Wewe huijui Marekani, Watu weusi ndio wanauawana wao kwa wao zaidi.

Polisi brutality wameuwa zaidi wazungu kuliko walivyouwa watu weusi.

Kinachowasumbuwa watu weusi ni ubaguzi, ona hata Tanzania nchi ya watu weusi usipokuwa ccm unabaguliwa na kuteswa.

Watu weusi ni wabaguzi kuliko wazungu nina ushahidi wa hili kwa 200%
Fala wewe
 
so magu ni dikteta? then thats the type of dictator we want in tz! hatutaki demokrasia yenu
Wewe Muhutu mwisho wenu umefika ni mwendo wa DNA hadi maiti zitafukuliwa muonyeshe vizazi vinne nyuma pumbafu
 
😂 😂 😂 maskini wanalilia viti maaalumu wanatamani vingekua vya wanaume
Hakuna viti maaluma Watanzania wanapewa Somo la kutawaliwa na wageni soon litawaingia Xenophobia mtatafuta pa kukimbilia
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Labda nishani ya kuandaa mashoga wa kiafrica
 
kuna watu wanafunga kwa maombi ila wanachadema wanafunga kuandika post. jitokezeni barabarani kuandamana hamtaki. Ila kwenye kufungua thread mpya tu mpo vizuri, keep it up
Watathubutu hawa kenge??
 
Hakuna viti maaluma Watanzania wanapewa Somo la kutawaliwa na wageni soon litawaingia Xenophobia mtatafuta pa kukimbilia

izi kelele tumeziskia sana toka kipindi nyerere anasumbuliwa na amini, sio mara ya kwanza tunaskia haya maneno!
 
Wewe Muhutu mwisho wenu umefika ni mwendo wa DNA hadi maiti zitafukuliwa muonyeshe vizazi vinne nyuma pumbafu

hahaha we ita majina yote! Magu ndo president na ccm mpaka mwisho wa milima, na hakuna kitu mnatufanya! wewe na IMF wenu kama kawaida yetu si unakumbuka raisi wa IMF alishaitwaga ikulu aje kukanusha umbea wake?
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.
Kwa kupeleka picha za Libya AU akisema ni Tanzania?
Beberu hawezi kuwa na maslahi na mtu mweusi,lissu anatumika tu
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Naiunga mkono hoja hii kwa asilimia mia. Hivyo naiomba Ofisi Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo pale Ufipa iharakishe mchakato huu wa kumpa nishani Bw. Robert Amsterdam!
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Kwa kutetea haki za Mashoga. Au na wewe ni walewale tuanze kukupigia miluzi unapenda kuwatukuza wanaoicheka tamaduni na mila zako ili umuone tamaduni yake na mila yake ndiyo msingi wa kuishi Duniani.
Hongereni Mashoga, cc Wenye watoto wa kiume hatutaki upuuzi wa huyo kiumbe. Sababu ya Tundu Lissu kupigwa kipigo cha Mbwa koko ni kutokana na kushirikiana na Huyo kiongozi wa Mashoga Duniani
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Ukoloni mkongwe kwenye kichwa.
 
Hatawasahau Sweden wanavyotaka kumnyoosha wamemlima barua kwa utengenezaji migogoro Afrika .
 
Pl

Jinga kweli wakuja unaandika as if nchi ya baba yako.mpuuzi kabisa

mbna hata wewe tunaweza kukutimua tu na chadema wenzako mkakae kama wakimbizi kenya! nchi yetu hii tukiamua kuchakachukua kura zote hatusumbui mtu na tukiamua kukulimbikizia kodi utatufanya nn sasa
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Wewe ndio mtu wa ovyo sijawahi kuona. Nakosa hata maneno ya kukuelezea. Huyu armsterdam shoga anayelipwa na mabeberu kumtetea lissu kibaraka wao? Armsterdam huyu ni sehemu ya kina acacia wenye hasira na sisi kwa kuwatimua kutunyonya na kutuibia kwenye madini
 
Back
Top Bottom