Pendekezo: Wakili wa Kimataifa, Robert Amsterdam apewe nishani ya kupigania haki, uhuru na utu wa mtu mweusi

Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Muda wote unaongea pumba tu sijui ukoje
 
@ mama D ninecheka sana Kuna Watu humu hawawizi kwa kutumia Mbogo😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣kakarupuka kama Ushuzi Eti Apewe Tuzoo Tuzo gani Ya USHOGA au

Dr Bill ukimsoma GENTAMYCINE na comments za great thinkers utaelewa kitu😂😂😂😂😂
 
Hahahahaa Tunavijana Wavivu Wa kufikili Kabisa inatia hasira sometime. Unatamani JF ingekuwa darasa unakata upiga Kwenziii
 
Taja achievements zake.
Yaani ulichokiandika hapa hakina utofauti na mtu aje aseme tumpongeze na kumpa nishani Mh. Mrema kwa kugombea sana Urais.
 
Basis endeleeeni Kupumulia na wazunguu mpka akili zikae sawa
Sawa. Msilalamike na kuumia basi maana tunaopumuliwa na wazungu ni sisi siyo nyie.

Nyie wenzetu endeleeni tu kupumuliwa na mapolisi.

Au mnaona wivu nanyi mnataka kupumuliwa na wazungu mmechoka na mzigo wa mapolisi?
 
Huyo ni wakili tu mchumia tumbo kama hao akina Lissu,hana lolote Ulaya unapwa hao bure ili wapate kazi sio bongo ti unamlipa wakili.
Watu pumbavu kama huyo aliyekuwa mgombea urais kwa ndoto zake za chandema kaingia mkenge jamaa anamtetea twiter.
Huyo sijui amsterdam nani anapractise uwakili wake kwamalooser wa africa,pembeni wanamlipa huku anapewa posho na serikali yake.
Nina mawakili wa3(wengine wanaaply)katika kesi zangu wala sina habari kujitangaza
Siwalipi senti tano,wanabembeleza ili wapate kesi yako wakiwakilisha wapewe chao ili waonekane wako active.Kuna mmoja nilikaa nae kwahoja mi sina wakili na yeye wakili alinyanganywa leseni siku hiyo hiyo LIVE.
Kaingia pale na Mgari mkuubwa na masuti yake mi nimepark baskeli yangu napiga feg tunakutana ndani huko kachoka na hakukua na mambomengi nimempiga maswali pale mbele ya judge hana majibu,nikatoa evidence zote live kwenye ipad hana majibu ,akaulizwa na judge we una nini kuwakilisha hiyo kampuni?
Anajibu "oohmi nimetumwa tu kuja nisign niwakilishe kampuni"yani yule mama Jugje akachukulia mfano pale pale jamaa alitemeshwa leseni na faini juu akaambiwa miaka mi2 asifanye kazi ya uwakili.
Na kiupole tu nikaulizwa na judge km nataka nifungue kesi ya fidia kunipotezea muda.
Nikasema NO,tukagonga tano na jugje nikaondoka zangu na kabaskeli kangu jamaa kabaki anantizamana namgari wake mkuuuubwa.
Ndio hao mawakili dizaini ya Amsterdam.
 
Lazima povu liwatoke ila ukweli ndio huo.Amsterdam ana utu kuliko mwenyekiti wenu mwenye roho mbaya na katili bila kusahau jinsi alivyo fisadi.

Ongea uongo wote unaujua ila ukweli utabaki kuwa ni huo anastahili tuzo ya kutetea utu wa mtu mweusi dhidi ya watawala katili wa kiafrika.
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Ukisoma kitabu kinachoitwa "THE CONFESSION OF ECONOMIC HIT MAN' utaelewa hasa malengo ya watu wa aina ya huyu jamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The phrase “ignorance is a bliss” is befitting when describing Amsterdam supporters.
 
Mi napendekeza apewe uenyekiti wa chadema na 2025 awe mgombea uraisi wa chadema

Twende na Amsterdam 2025 [emoji16] [emoji23]
 
Lazima povu liwatoke ila ukweli ndio huo.Amsterdam ana utu kuliko mwenyekiti wenu mwenye roho mbaya na katili bila kusahau jinsi alivyo fisadi.

Ongea uongo wote unaujua ila ukweli utabaki kuwa ni huo anastahili tuzo ya kutetea utu wa mtu mweusi dhidi ya watawala katili wa kiafrika.
Nenda katafute pesa we kenge,huyo mkuu wako alikua lazima anukishe ili apewe asylum status Europé, mwanzo alinyimwa sababu status yake ilisoma anatibiwa akimaliza arudi kwao.
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Mpe na dada ako kabisa
 
Most stupid ever ever ever ever and ever thread..!! 😡😡😡😡😡... Black kid with black mind what a waste, Mzungu akupiganie mtu mweusi? Stupid of Professorial, PhD level, nyie watu mbona majinga kuliko kiwango cha juu kabisa cha ujinga wenyewe..!! What? A white, crook lawyer, akupiganie uhuru na haki yako mtu mweusi? Swine, dead headed kabisa.. Ptuuuuh..!! I felt Nauseated..!!
 
Most stupid ever ever ever ever and ever thread..!! [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]... Black kid with black mind what a waste, Mzungu akupiganie mtu mweusi? Stupid of Professorial, PhD level, nyie watu mbona majinga kuliko kiwango cha juu kabisa cha ujinga wenyewe..!! What? A white, crook lawyer, akupiganie uhuru na haki yako mtu mweusi? Swine, dead headed kabisa.. Ptuuuuh..!! I felt Nauseated..!!
Angekuwa karibu nafikiri ungempiga makofi.. Punguza hasira mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala katili/madikteta wa kiafrika.

Ukifuatilia katika akaunti yake ya twitter,utaona jinsi anavyojitoa kulaani ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa dhidi ya raia katika mataifa mbalimbali ya kiafrika zikiwemo Tanzania, Uganda, Cameroon kama sikosei pamoja na nchi nyingine.

Uthibitisho wa taasisi yake kujitoa kupigania haki na utu wa watu ni maneno katika tweet yake hii ya tarehe 14/11/2020 ambapo aliandiki hivi:

"Our firm can guarantee nothing but try everything to help those who were disenfranchised so violently by the impostor"

Na hiki ndio anaonekana kukifanya sasa hata huko Uganda ambako nako kuna mambo ya hovyo hovyo yanayoendelea kuhusiana na uchaguzi.

Sitaki kuamini kuwa watu katika mataifa haya ya kiafrika wanaonyanyaswa na kuteswa na watawala, wana hela za kutosha kumlipa zaidi ya yeye na kampuni yake ya uwakili kujitolea tu kusaidia au kutoa huduma hiyo ya kisheria kwa kutoza gharama kidogo tu za kuchangia huduma hiyo na sio kupata faida.

Wapo mawakili wengi, lakini naona huyu na taasisi yake wanajitoa sana hivyo anastahili kupewa nishani kutambua mchango wake.
Stupidddd....article.rubbishhhhh...
 
Back
Top Bottom