PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Mzee wangu naona umeshalewa weekend hiiUsilete ujinga wako kwenye Majanga 🐼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee wangu naona umeshalewa weekend hiiUsilete ujinga wako kwenye Majanga 🐼
Ushakua chawa wa CCM?Sawa.. Kwa heri ya kuonanaView attachment 3153915
Wewe ndiye mwenye mamlaka ya kuwagawia sifa husika hao wote ulio wataja? Mamlaka hayouliyatoa wapi!Watanzania jifunzeni kwamba siasa ni game ya propaganda.
Hautakiwi kuwa na chuki binafsi kwenye siasa sababu siasa mtaji wake ni watu, propaganda n.k ili mradi kunipofanyika hizo propaganda kusiwepo uvunjifu wa amani, sheria n.k
Ngoja Lucas Mwashambwa akusikie..😂Ushakua chawa wa CCM?
Huyo mtu nikimuona kwakweli najisikia hovyo sana..!!!
Ingewezekana ku block picha zake kuonekana katika sim yangu kwa namna zote, hakika ningefanya hivyo kwa gharama yeyote.
Lema: Benson mkewe ni COVID 19Naona upumbavu sasa ndiyo chapa muhimu inayo kutambulisha wewe, na siyo ujinga.
Ndio vizuri Ili kukwepa ndumba za mshanaMzee wangu naona umeshalewa weekend hii
Naona hizi bangi za uzeeni zina kuathiri vibaya. Sijui baada ya kuongoka kwa anayekulisha uchafu kila siku, kutwa nzima, hali yako itakuwaje!Lema: Benson mkewe ni COVID 19
🐼
Lema anaonyesha walipo wapumbavu🐼🔥Huyu keshalewa jamani... Lmb7 njoni mchukue kituko chenu huku
Lema anaonyesha walipo wapumbavu 🐼😃Naona hizi bangi za uzeeni zina kuathiri vibaya. Sijui baada ya kuongoka kwa anayekulisha uchafu kila siku, kutwa nzima, hali yako itakuwaje!
Ukichunguza kwa uangalifu, kwa kusoma wanayo andika humu JF, utagundua kwamba kwa hivi karibuni pamekuwepo na mabadiliko sana kati ya hawa machawa. Kuna aina fulani ya 'desperation' ime waingia. Hali haipo shwari tena.Huyu keshalewa jamani... Lmb7 njoni mchukue kituko chenu huku
Benson anaishi kwa mshahara wa Serikali kupitia mkewe bungeni 😂
19 pale Gangilonga kwa Mungai 😂😂Leo umekunywa vingapi kwani
Ni huko huko kwa Lema ndiko nilikoona ukitambulika kuwa 'mpumbavu'.Lema anaonyesha walipo wapumbavu 🐼😃