Watanzania jifunzeni kwamba siasa ni game ya propaganda.
Hautakiwi kuwa na chuki binafsi kwenye siasa sababu siasa mtaji wake ni watu, propaganda n.k ili mradi kunapofanyika hizo propaganda kusiwepo uvunjifu wa amani, sheria n.k
Kama CCM wanafanya propaganda kwenye misiba, Chadema fanyeni propaganda kwenye ukabila, ACT fanyeni propaganda kwenye unafiki, CUF fanyeni propaganda kwenye udini n.k
Sisi wananchi tutachagua tunahitaji nini kwa mustakabali wetu na maendeleo yetu.
Unapozidiwa propaganda usichukie na kuanza lalamika bali na wewe fanya propaganda zaidi na zaidi kuliko mwingine yeyote unaeshindana nae kwenye siasa.