Pengine kwenye hili wataona haya ama wataona aibu

Riport
Your browser is not able to display this video.
 
Naona aibu kujitambulisha kama mtanzania
 
Mambo hayaendi hivyo sheikh, tukiruhusu kila mmoja atumie silaha iliyo karibu naye hatutafika popote, kila kitu kina kanuni na miongozo, siasa zina kanuni na misiba vilevile, usituvuruge.
 

Huwezi peleka propaganda kwenye misiba.
 
Angalizo; kama haufaidikina siasa kama mbowe au lissu, tafadhali ikalie mbali maana mwisho wa siku inakupumguzia uwezo wa kufikiri tu.......ona Sasa km unabisha.

Kumbe Mbowe na Lissu ndio wanaiongoza Tanzania. Hongera zao
 
Si ni kama ule mliofanya kwa King Kikii ama kuna tofauti?
Mbona huyu mjinga anayeitwa Chalamila tayari amewahi sehemu ya tukio na kutoa hotuba ya kijinga kabisa huku akimtaja ''mama''? Hawa hawana aibu hawa. Kwenye eneo lenye janga unakwenda kutoa hotuba badala ya waokoaji kuwahi? Nchi yetu ni kama imejaa nyumbu yote.
 
Walipofika wanajeshinndiyo angalau wanachi walishangilia ingawa nao walifika late hours. Ila wale mboga mboga waliovaa sare za kijani na polisi hakuna mtanzania aliyekuwa na muda nao.πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ’ͺ🏿
Mbogamboga nao walileta ndukumi yao hapo!
 
Juzi kwenye bango la tangazo la msiba wa mwanamziki mkongwe King Kikii waliambatanisha na picha ya mama.. Hii ilikuwa ni aibu kubwa na Nilikuwa kituko cha karne! Wengi walihoji.. Jamani hata kwenye misiba!?


View attachment 3153908
Nilitarajia kuona mama yao akisitisha au kuchelewesha ziara ya G20 ili ashiriki zoezi la uokoaji
 
Huwezi peleka propaganda kwenye misiba.
Kwanini usiweze peleka propaganda kwenye misiba?
Unatakiwa ujue mtaji wa mwanasiasa yeyote ni watu, haijalishi hao watu wamejumuika kwa ajili ya sherehe, msiba, kanisani, msikitini n.k
Chama chochote kinachotaka ushawishi lazima kiwe na kitengo cha propaganda kinachofanya kazi vizuri.

Nchi kubwa kiuchumi duniani kama Marekani ili iendelee kuongoza katika nyanja zote za kiuchumi, dini kisiasa, kijeshi, afya, utawala n.k lazima iwekeze sana kwenye kitengo cha propaganda na ndio inachofanya na haijalishi kama hizo propaganda zina athari hasi kwa dunia au la.
Dunia hii haina usawa na haitokaa kuwa na usawa hadi hapo Mwenyezi MUNGU atakapo amua vinginevyo.
 
Bi Chura ametoa pole akiwa angani.

Mkuu.
Hatuna serikali. Tuna kikundi cha watu wasiojali thamani ya maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…