Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Wengine hawataelewa ulicho kiandika.

Wao wanaamini Shetani ni Jinni au Mtu anayetenda mambo Mabaya.

Wanaamini kuwa hakuna kiumbe kwa asili yake kinaitwa Shetani.

Wanamaanisha Shetani ni matendo maovu ya mtu au Jinni.

Watakuja kutoa ufafanuzi.
 
Wengine hawataelewa ulicho kuandika.

Wao wanaamini Shetani ni Jinni au Mtu anayetenda mambo Mabaya.

Wanaamini kuwa hakuna kiumbe kwa asili yake kinaitwa Shetani.

Wanamaanisha Shetani ni matendo maovu ya mtu au Jinni.

Watakuja kutoa ufafanuzi.
Inaweza kuwa
Maana shetani simply maana yake ni kupinga(kinyume/uongo)
 
Inaweza kuwa
Maana shetani simply maana yake ni kupinga(kinyume/uongo)
Huyo hapa chini alikuwa Jinni au Mtu?
Au alikuwa (Kinyume/Uongo) kama unavyo sema?

Ayubu 1:7
Bwana akamwuliza Shetani, Umetoka wapi wewe?
Ndipo Shetani akamjibu Bwana, na kusema, Natoka katika kuzunguka-zunguka duniani, na katika kutembea huku na huku humo.
 
Siyo kweli kwamba Robotatu ya malaika waliungana na shetani kumpinga Mungu ni Theluthi ya malaika yaani ⅓ tu ndiyo walioasi...

Ufunuo wa Yohana 12:3-4 (KJV) 3.Ikaonekana ishara nyingine mbinguni; na tazama, joka kubwa jekundu, alikuwa na vichwa saba na pembe kumi, na juu ya vichwa vyake vilemba saba.
4. Na mkia wake wakokota theluthi ya nyota za mbinguni, na kuziangusha katika nchi. Na yule joka akasimama mbele ya yule mwanamke aliye tayari kuzaa, ili azaapo, amle mtoto wake.
 
Biblia gani inayosema robo tatu ya malaika walimfuata shetani??
nimefikia hyo sehemu nikashangaa ila all in all bado naendelea kusoma
 
Hakuna kiumbe chenye mwili kinaitwa Shetani!

Hebu nikuulize...unajua kitu kinachouitwa-MIND(English term)KAMA UNAJUA-MIND INAKAA SEHEMU GANI YA MWILI?

Then tutaendelea na Mjadala!!
 
Hakuna kiumbe chenye mwili kinaitwa Shetani!

Hebu nikuulize...unajua kitu kinachouitwa-MIND(English term)KAMA UNAJUA-MIND INAKAA SEHEMU GANI YA MWILI?

Then tutaendelea na Mjadala!!
Hujui unachoongea. Fallen Angels ni viumbe physical na si vitu ambavyo ni abstract kama ilivyo akili
 
Hujui unachoongea. Fallen Angels ni viumbe physical na si vitu ambavyo ni abstract kama ilivyo akili
Angles kwa maana ya Malaika siyo sawa na Shetani!
NI kweli wana Mwili...

Highly Evolved beings!

MIND siyo AKILI!

BADO UNAHITAJI SHULE!
 
Okay, kuna proof ya chochote kati ya hivi ulivyovisema?
 
Unajua huwa hatufikiri kabisa inakuwaje Huwa unasema Mkono wa kuume wa Mungu, mara nyingine tunasema Yesu amekaa Mkono wa kuume katika kiti cha Enzi
Je vip kuhusu Mkono wa kushoto wa Mungu mbona Huwa hatufikiri huu?
 
Kwa msiomfaham huyu jamaa nae alikua mbingun ndy maana anaijua Sana serikali ya mbingun 😂🤣

Ila Mimi ninachokijua ni kwamba Dunian hakuna ushahidi wa hayo yote kwahy tunaishi tu na wengine waliishi na wengine wataishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…