Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Wengine hawataelewa ulicho kiandika.

Wao wanaamini Shetani ni Jinni au Mtu anayetenda mambo Mabaya.

Wanaamini kuwa hakuna kiumbe kwa asili yake kinaitwa Shetani.

Wanamaanisha Shetani ni matendo maovu ya mtu au Jinni.

Watakuja kutoa ufafanuzi.
Duuuuuuu
 
Kiumbe kilichopewa laana pale Edeni ya kuwa "hakika utakufa " , ni mwanadamu siyo malaika Wala Shetani..
 
Walkkole mnatuchanganya mara mseme damu ya yesu iliyimwangika msalaban ndio sadaka ya mwisho
 
Huyo shetani wa kwenye biblia kajikuza mweyewe kwenye biblia.

Ushetani ni sifa ya watu, ukiwa na ushetani wewe ni shetani. Sifa ya kwanza ya shetani kukufuru kwa kufanya shirki ya kutokuamudu Mwenyezi Mungu mmoja asiyezaa wala kuzaliwa.
 
Hili andiko Shetani kachukia, ndugu mtoa andiko kama ulikuwa unaamini nguvu za Mungu kwa kiwango cha chini ya asilimia 100% naomba jaziliza ifike 100% kabisa au ivuke. Huu Uzi mzuri sana umerejea maandiko, kwa wanaosoma Biblia huu uzi umeeleweka vizuri sana. Hapo Shetani asifikiri tunamsifia nguvu zake ila tumegundua kumbe tukitaka kupambana nae tumwite mbabe wake ampe mabanzi apite kule[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kinyago kiitwacho shetani kiliumbwa Ili tushindanishwe nacho sio!!?

Tuwe Kwenye vita inayochosha AMBAYO inaumiza si ndio!!!

Binadamu ni kiumbe mwenye hasara Bora mnyama anaechinjwa na kuliwa!!

Yaani vita vita vita dhidi ya kiumbe mwenye nguvu sana si ndio!!?

Inasikitisha sana!
 
Mi simuamini kiongozi yyte wa dini,kwanza Hana Cha kunisaidia!
Pili ,Mungu wetu Jesus,Jehova,Elohim ,Bwana wa majeshi ...hatetewi,ila anajitetea ....

Ila kuhusu kumwabudu,kumtukuza , kumtumikia yeye ni sahihi ndo anachotaka
Hata yule uliyeniambia ni mfuatilie youtube nae humuamini ?

Ok ila nakuelewa sana mtumishi ,nikiona andiko lako natulia kulisoma na kulielewa
 
Kumbe Ayoub alibonga na shetani kitaani ? Hahahaha,jamaa ( shetani) mzururaji tu mjini hapa
 
Hata yule uliyeniambia ni mfuatilie youtube nae humuamini ?

Ok ila nakuelewa sana mtumishi ,nikiona andiko lako natulia kulisoma na kulielewa
Yule sio kiongozi wa dini!
Nampenda ,namfuatilia sbb anafundisha kweli ya Mungu hafundishi kuijua au kuishika dini...
Maana Kuna tofauti kubwa sana kati ya issue ya' dini' na ya' kiroho '...

Kwahiyo nilikwambia umfuatilie Ili ujifunze ...
Dini zimeharibu sn watu
Zimepotosha kweli ya Mungu
Watu wengi wamejikuta wameshika dini sio Mungu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…