Pengine Unamsikia tu Shetani Juu juu. Humfahamu Vizuri na Unasema ni Adui Yako

Sasa ndugu yangu bila Neema ya Mungu utafanyaje kukwepa hayo ilhali Kila angle ya maisha yupo?

Mimi ndio maana nasemaga Mwenyesi Mungu amalizane na Shetani tupone maana kama Adam yalimshinda sembuse Mimi hapa ambae Nina utukufu mdogo zaidi kuliko Adam?
 
Upo sawa kbs ndugu yangu
 
Hivi shetani kama angekuwa na machapisho/promo kama anayofanyiwa mungu labda yeye ndo angeaminika kwa 90% na mungu akabakia na 10% tu!
Ukichunguza utagundua watu wanamlaani shetani mdomoni tu, kimoyomoyo wanamtamani sana!
 
Hahahahahahaha mzee umetisha Sana . Ulichosema kipo kwa wengi . Ni wanafiki .
 
Shetan alikuwa ndie mkuu wa kitengo cha sifa mbinguni na sio waziri mkuu. Aliumbwa maalumu kwa sifa nyimbo kinanda nk. Na aliitwa Lucifael .
 
Shetan alikuwa ndie mkuu wa kitengo cha sifa mbinguni na sio waziri mkuu. Aliumbwa maalumu kwa sifa nyimbo kinanda nk. Na aliitwa Lucifael .
Sijamaanisha kuwa alikuwa waziri mkuu ,bali nimefananisha Kama waziri mkuu kutokana na hadhi ya utendaji na uongozi
 
Sijamaanisha kuwa alikuwa waziri mkuu ,bali nimefananisha Kama waziri mkuu kutokana na hadhi ya utendaji na uongozi
Sasa si alikuwa kwenye kitengo cha sifa. Yaan ni sawa na wewe uwe mkuu wa burudan pale ikulu hiyo haiwez kuwa ni waziri mkuu. Ingawaje ndie alikuwa mkuu wa idara hiyo. Ni kama vile ulinz anaongoza Mikael, habar anaongoza Gabriel, na Rafael anasimama mahali pake. Na huyo Lucifael alikuwa anaongoza kitengo cha sifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…