Sweya Makungu
JF-Expert Member
- Jun 11, 2023
- 508
- 601
- Thread starter
- #81
Ulimwengu wa roho unafanya kazi kinyume na asili aliyoumbiwa mwanadamu na sayansi . Uwepo wake hauthibitishwi kisayansi sawa na ambavyo uwepo wa Mungu hauthibitishwi kwa sayansi. Uwepo wake unathibitishwa kwa njia kiroho kwa wanaotumia nguvu zake. Au kwa matokeo yanayotokana na nguvu zake tunayoweza kuyaonaJe uwepo wake, tunaweza kuthibitisha kisayansi?