Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 5,994
- 8,696
Mkuu naomba na mm nitie neno hapa.Kwa hilo andiko lako umepotosha japo sijasoma lote nimeishia pale uliposema eti shetani alikuwa kama "waziri mkuu kwenye serikali ya Mbinguni"
Mnamuongezea sifa za kijinga na kumpamba bila sababu. Hakuna sehemu kwenye Biblia inasema kuwa shetani alikuwa nani au "kiongozi wa malaika kama wengi wanavyoamini na kufundisha" hata kama sijasoma andiko lako lote naamini kwa sentensi hiyo hapo juu unamaanisha hivyo. Yeye alikuwa kerubi kama makerubi wengine mkuu na kusema ana mamlaka ndio maana alikaa na kupiga story na Yesu kule jangwani kwa simu 40 pia ni uongo. Biblia inaeleza Yesu alifunga siku 40 jangwani na aliposikia njaa yaani siku ya mwisho ndipo Ibilisi alikuja kumjaribu pitia chakula na sio kama alikuwa anapiga naye story hizo siku 40.
Infact, nje ya mada yako. Je unamjua mzee Sweya Makungu Mstaafu mmoja hivi kule Iringa?
Ungesoma mpaka mwisho nadhan ungeandika tofauti.
Katka uandishi au usimulizi huwez andika au kusinulia kama kilivyoandikwa sehemu.
Mwandishi kuandika kiwa shetan alikuwa na nguvu kama waziri mkuu nadhan hajamaanisha shetani alikuwa waziri mkuu ila anajaribu kuonesha nguvu na madaraka alokuwa nayo shetani.
Kama ntakuwa nipo kinyume na mtoa mada atanisahihisha pia wewe
Pili kule jangwani shetani alikuwa na Yesu na hata alipomchukua hadi kwenye kinara na kumwonesha zile milka na akamwambia ukinisujudia milki yote na vyote nitakupa.
Ukisoma ayubu unaona shetan alikuwa anazunguka zunguka duniani na aliweza kuwa na hata na famlia ya ayubu na akaijua vyema na alipokuwa na Mungu aliweza kujibu swali la Mungu. Hasa alipoulizwa kama amemona mtumishi wake Ayubu.
Kiufup maandiko n meng ila tujitahid kuyasoma na kuyaelewa na kuyaishi.
Sisi sote ni wa Mungu na tunatamani kurudi kwake salama. Kama kunamakosa ya kiuandishi na kimitizamo hayo n ya kawaida katika neno la Mungu.