Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Kwani kosa lake ni nini?sisi wakatoliki hatujamtuma hayo na kasema "kwa maoni yake",unapinga ile falsafa ya uhuru wa maoni kwa kuwa tu hayakufanana na unayotaka kusikia. Hata Niwemugizi amesema kama yeye na kujibiwa kama yeye,so take it easy,hafukuzwi mtu hapa.

Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
 
Naona msumali wa Kadinali Pengo umewachoma sana

Anatuaibisha na kutuharbia imani na matendo yetu.

Mbona Pengo
Haoni wanaookotwa wamekufa/uwawa coco beach

Haoni kupigwa risasi raia

Kwanini hawezi kulaaani matukio yakutisha na kuumiza watanzania

Pengo anaudhalilisha
 

RC wanauvumilivu sana
Kufukuzana wanafukuzana Anglikana na walokole
 
Papa si Mungu
Roma si mbinguni.



GET WELL SOON LISSU
If you are not catholic stop commenting about catholic church, because you don't know nothing. Kwa imani yetu, Yesu hakwenda mbinguni na mamlaka yake. Aliyaacha hapa hapa duniani kwa viongozi wa kanisa. Yaani waliachiwa mamlaka ya kufunga na kufungua chochote hapa duniani, na wakifanya hivyo, kitu hicho kinakuwa kimefungwa au kufunguliwa pia huko Mbinguni. Read your bible again, and be careful what you say.
 
nimetoka kuiangalia ile video ya gwajima, nimejikuta nafarijika sana. bravo gwajima
 
Si rahisi kiasi hicho ndg ,ni kweli gardinal yuko nje ya haki lkn utaratibu ni mgum sana nasani pia na magonjwa lkn pia uzee ndo vitu vinavyomsumbua nazani akili yake na kumbukumbu vinamkimbia Baba askofu tumuombee.
 
Sasa kama si msimamo wa kanisa naye Pengo hayo aliyoyasema ni mismamo wake au kanisa ?!. Kumbuka huyu Pengo hata wakati wa bunge la katiba aliwakoroga watu kwa kuukana waraka wa baraza la maaskofu Tz, napo pia alidai siyo msimamo wa kanisa!!

Pamoja na hayo mambo ya KKT, RC, SDA, ISLAM, AIC, ANGLICAN & PENTECOSTE yasiwagawe WaTz na tukauacha ukweli kisa tu aliyezungumza si wa kwetu!!.
 

Mkuu unafikiri Kanisa Katoliki ni kama chama chako cha Chadema?? Hiyo ni dola kama dola zingine duniani hivyo siyo kama chama cha siasa kama Chadema!!
 
Utakufa unawaza hivyo!Vi vyama vya kijinga km VYENU laiti ningekuwa magu...vingeishia....pamoja na watu wake!Upuuzi tupu!Na mtakufa bila kushika dola!
Kweli akili ni hazina kubwa sana, wakati wajinga mawazo yao yameishia kwenye kushika dora wenye akili wanawaza kuwa na katiba bora inayolinda na kujali demokrasia ya kweli
 
Mimi nimeacha hata kusali sikuizi maana hata kanisa nalo limekuwa afta money. They just care about sadaka na si kuwa mfano katika jamii
 
RC wanauvumilivu sana
Kufukuzana wanafukuzana Anglikana na walokole

Kweli mkuu kwa tabia hizi Za Pengo I can think and decide the other way.

Kuliko kuwa nakiongozi wa hovyohovyo namna hii bora kuhamia kwa jirani

Eti anavaa joho nakusimama madhabahuni kwa mafundisho yahovyo namna hii.

Pengo asidhani tupo wajinga that way.
 
Na akistaafu anapewa ubunge wa zile nafasi kumi awe Waziri wa Muungano
Ili ukajitupe kwenye mkondo wa Nungwi na chuki zako
 
Baba Kadinali Pwngo karopoka kwa sababu si mzungumzaji wa baraza la maaskofu kwa hiyo na yeye anapashwa kwa sababu ni msimamo wake binafsi si wa kanisa katoliki mzee wetu baba mtakatifu amekosea sana na angejiupeshe katika siasa za kutetea wauaji anaharibi siha na sura ya kanisa katoliki nchini
 
Hawezi kufukuzwa ila inatosha kwamba Tumezijua Rangi zake 'We have Known His True Colors'
 
Wake-up tuache ushabiki hayo ni maono yake na kwa vile ni Cardinal ana jukumu pia kikanisa kulea kanisa! The best you guys you can do ni kuignore tu. Tatizo liko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…