ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,304
Kwani kosa lake ni nini?sisi wakatoliki hatujamtuma hayo na kasema "kwa maoni yake",unapinga ile falsafa ya uhuru wa maoni kwa kuwa tu hayakufanana na unayotaka kusikia. Hata Niwemugizi amesema kama yeye na kujibiwa kama yeye,so take it easy,hafukuzwi mtu hapa.Wakuu natanguliza salamu .
Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .
Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .
Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .
Naomba kuwasilisha .
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app