usinisogeze
Senior Member
- May 6, 2017
- 199
- 122
Hizo ndizo akili za kushikizwa, kila mmoja ana haki kutoa maoni tofauti na wengine. Halafu mkumbuke Pengo ni kiongozi wa Katoliki, utaratibu wao ni tofauti na madhehebu mengine, yeye huteuliwa kutoka VATICAN, ndio maana huwezi kukuta migogoro kwenye kanisa hilo kama madhehebu mengine. Kama humtaki basi hama kanisa.Halafu mnaajiita wademokrasia. Mtu akiwa na mawazo tofauti na wewe mnamfukuza. Ni ngumu sana kuficha unafiki.
Naunga mkono hoja.Wakuu natanguliza salamu .
Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .
Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .
Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .
Naomba kuwasilisha .
Utakuwa naye siku ya Hukumu yako? Jiokoe wewe na nafsi yakoKabisaa
Huyu mzee anatufedhehesha sana wakatoliki (Roman Catholic - TC)
Najisikia aibu kuwa na kiongozi mnafiki level hii
Hafai kwakweli hafai
Kila taasisi ina mifumo yake ya kiuendeshaji likiwemo swala la utoaji wa taarifa rasmi. Kosa lilifanywa na wabunge wa upinzani walipotoka nje wakashindwa hata kufanya partial amendments.
Je nani alipiga UMBEYA mpaka Askofu Kilaini anafukuzwa Dar?
Mahali pa kupeleka pendekezo lako kulikuwa ni Vatican kwa mteuzi wake.Wakuu natanguliza salamu .
Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .
Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .
Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .
Naomba kuwasilisha .
Kumbuka kuna wakati Pengo alikwenda kinyume na msimamo wa TECNaomba nikuulize kosa lake ni nini? Kwani maneno ya Askofu Niwemgizi si ni msimamo wake binafsi? Ukumbuke na wala si msimamo wa jimbo lake la Rulenge. Unakosea sanaaaa na kutenda dhambi kwa kumhukumu kwa maoni yake. Cardinal ametoa naye maoni yake USIYOYAPENDA ila ukweli unabaki pale pale kuwa mpaka baraza la maaskofu likae ndipo linaweza kutoa msimamo wa kanisa katoliki hapa Tanzania. take it or reject it its your wish mkuu
Umeanza vizuri, lakini umemalizia kwa uongo!! Kosa halikuwa la ukawa, bali Marehemu Sitta na Kikwete, kuingiza uchama na kulazimisha ambayo hayakuwamo ktk rasimu ya Jaji Warioba kuingizwa, na hivyo kuwagawa wajumbe ktk kambi mbili zenye maslahi tofauti.Kila taasisi ina mifumo yake ya kiuendeshaji likiwemo swala la utoaji wa taarifa rasmi. Tuna mfano mzuri kwenye ishu ya tundu Lissu. Ilifikia kipindi kila mtu akawa msemaji wa hali ya Lissu hadi mkt Mbowe alipoingilia kati na hata wanafamilia wakakaa naye huko Nairobi. So msemaji wa hali ya Lissu ni Mbowe na watanzania wanapata habari zauhakika. Kuhusu matakwa ya katiba mpya kila upande unayataka na wala siyo agenda ya upinzani bali kuletwa sasa au baadae inategemea na mambo mengi ikiwemo raslimali fedha na jambo nyeti linalolazimisha kuwepo mabadiliko makubwa ya katiba. Kosa lilifanywa na wabunge wa upinzani walipotoka nje wakashindwa hata kufanya partial amendments.
Yeye hapati nafasi yà kuongea na Papa, lakini anaweza pata nafasi kuongea na Mungu aliye mkuu zaidi ya papa!!!/Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
Yeye hapati nafasi yà kuongea na Papa, lakini anaweza pata nafasi kuongea na Mungu aliye mkuu zaidi ya papa!!!/
Nadhani hapa tunachangia kulingana na kila mtu anavyofahamu kaka. Leta nondo zako watu waelewe zaidi
Vipi kuhusu EL aliyesema kuwa safari hii ni zamu ya walutheri.
Mfumo kristu umeishia wapi?Wewe unalijua Kanisa Katoliki kuliko Kardinali Pengo ambaye anakaa meza moja na Papa? Pengo ana kiti chake Roma kwenye Meza moja na Papa, Pengo anaweza kuongea na Papa kwa Simu, wewe takataka unaweza kumpigia nani Simu hata akapokea?
KAMA KARDINALI ANATEULIWA NA MBOWE AU LOWASA SAWA ATAFUKUZWAWakuu natanguliza salamu .
Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .
Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .
Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .
Naomba kuwasilisha .
Mkuu unatutia aibu .....hakuna cha maana ulichoandika hapo naona umemshambulia tu huyo MZEE.....fafanua GT tukueleweWakuu natanguliza salamu .
Maelekezo makuu ya Mungu kwa wanadamu ni kuishi katika kweli iliyojaa haki tupu , kutenda mema na kukataa maovu , hivyo tunategemea kiongozi yeyote wa dini ya kweli aishi na atende kama Mungu alivyoelekeza .
Kardinali Pengo anatenda kinyume na Maagizo haya ya Mungu , ni wazi ameamua kujipambanua kuukumbatia unafiki , Amejipachika usemaji wa Kanisa kinyume cha utaratibu .
Ni vema sasa Kwa kulinda heshima yake lililojiwekea miaka mingi , kanisa Katoliki linapaswa KUMTIMUA kardinali Pengo ili akaendeleze harakati zake za kupinga katiba mpya ndani ya chama chake cha ccm .
Naomba kuwasilisha .
Sawa, lakini hapo hajatoa maoni yake binafsi. Yule mwingine ndio hii statement ilimfaa.Pengo nae ni mwananchi wa Tanzania, ana uhuru wa kutoa maoni