Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Kiongozi wa Kanisa katoliki Tanzania !Kwa mujibu wa taratibu za kanisa Katoliki, askofu Pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake.
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa mwanza,pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Una mfano wowote?Alikuwa anasema sema kikwete kila siku vibaya
Labda kwa kuwa kikwete alikuwa muislamu,Huyu wa kwake yeye anamuunga mkono tu
Hovyo sana huyu jamaa. Mbona yeye ana kimbilia kujibu as if ndiye msemaji wa Kanisa? Kila nikilifikiria kanisa kwa hivi sasa na huyu jamaa, huwa naomba mapenzi ya Mungu yatimizwe juu yakePengo kawa pengo kanisani
Yeye kafika wapi? Nilicho uliza cha ajabu kipi? Hayo ya miaka ya ahadi si yapo kwenye msahafu au?Tusifike mbali
Walianza wapinzani, wakaja media, wakaja.........Nimesikitishwa sana na kauli ya Kardinali Pengo juu ya Katiba Mpya. Nilitegemea Kardinali Pengo angeungana na Watanzania kutaka Katiba Mpya badala yake anasema eti IJE BAADAE.
Uingereza haijawahi kuwa na katiba na haina mpango wa kuwa na katiba lakini ni nchi iliyoendelea. Katiba sio kipaumbele cha maendeleo.Nimesikitishwa sana na kauli ya Kardinali Pengo juu ya Katiba Mpya.Nilitegemea Kardinali Pengo angeungana na Watanzania kutaka Katiba Mpya badala yake anasema eti IJE BAADAE.
Mtu asiejulikanaMhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
nimeamini kweli Pengo ni askofu wa roho. ROHO MTAKAFUJO!!Nimesikitishwa sana na kauli ya Kardinali Pengo juu ya Katiba Mpya.Nilitegemea Kardinali Pengo angeungana na Watanzania kutaka Katiba Mpya badala yake anasema eti IJE BAADAE.
Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.