Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Pengo ni MNAFIKI sana, Niwemugizi alitoa maoni yake binafsi wakati wa kongamano lile,kwani kuna sehemu ilinukuliwa ikisema yale ni maoni ya Kanisa Katoliki? Tuache unafiki nimekosa uvumilivu na Baba Kadinali Pengo
 
Mkuu barafu shukrani kwa kuitoa thread kwa ukamilifu wake. si unajua tena mambo ya nokia kitochi?
 
Mkuu raisi wa baraza la maaskofu ni wa Iringa, Ngalalekumtwa alichukua kutoka kwa huyo wa Mwanza Dr. Ruweichi na msaidizi ni Niwemugizi wa jimbo la Rulenge kama sijakosea!
Hapana mkuu. Niwemugizi aliishakuwa Rais wa TEC nadhani mihula miwili, na baadaye akawa makamu hadi alipoachia kwa mujibu wa Katiba. Kwa sasa sio makamu /msaidizi
 
Pengo anaposema Kipaumbele chake ni kuona wananchi wanapata huduma kwanza na sio katiba mpya, inaashiria Akili yake imeanza kuzeeka
Kipaumbele chao ni nini?
Pengo yuko sahihi hata Uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. Kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu Pengo yuko sahihi asilimia 100.
 
Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Hivi kuna mtu anamuamini Pengo mpaka leo ?
 
Pengo yuko sahihi hata uingereza kipaumbele chao sio katiba na hawajawahi kuwa na katiba na hawatarijii kuwa na katiba. kipaumbele ni kero halisia za raia wake kutatuliwa. Askofu pengo yuko sahihi asilimia 100
Nakuhakikishia Yesu akirudi leo atamtimua Pengo kanisani, huyu mzee haaminiki tena na sisi waumini.
 
acha kudanganya kawadanganye mijinga wenzio ccm, wanayo ni unwritten constitution,
Hiyo unwritten constitution koko yako iweke basi. Katiba isiyoandikwa ilipitishwa lini weka mwaka ilipopitishwa na bunge la uingereza na kupigiwa kura na wananchi. Weka hapa huo ushahidi
 
Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Hata kauli ya Pengo Bila Shaka sio msimamo wa kanisa katoliki ni maoni yake binafsi
 
Pengo ni MNAFIKI sana ,Niwemugizi alitoa maoni yake binafsi wakati wa kongamano lile,kwani kuna sehemu ilinukuliwa ikisema yale ni maoni ya Kanisa Katoliki? Tuache unafiki nimekosa uvumilivu na Baba kadinal Pengo
Sasa Kama Niwemgizi alitoa maoni binafsi sio ya kanisa kwa Nini wakati anayatoa alikuwa amevaa mavazi ya kiaskofu ikiwemo Pete na msalaba shingoni
 
Nimesikitishwa sana na kauli ya Kardinali Pengo juu ya Katiba Mpya.Nilitegemea Kardinali Pengo angeungana na Watanzania kutaka Katiba Mpya badala yake anasema eti IJE BAADAE.
Huyu mzee anajifanya kimbelembele sana ! Nina uhakika Yesu akirudi atamtimua na mfuko wake wa rambo . Kwanini anataka kujifanya ndio muamuzi wa nchi hii, hayo madaraka kampa nani?
 
Sasa Kama Niwemgizi alitoa maoni binafsi sio ya kanisa kwa Nini wakati anayatoa alikuwa amevaa mavazi ya kiaskofu ikiwemo Pete na msalaba shingoni
Unajua unachoongea mkuu? Ulishamwona Askofu wa kanisa Katoliki amevaa gwanda au shati la kijani?
 
Unafiki wakati rais ni Jakaya huyu Pengo alikuwa na kiherehere sana. Tunasubiri wakati utafika InshaAllah tutamkumbusha.
 
Tatizo kanisa letu na baadhi ya makanisa viongozi wengi ni usalama wa taifa plus huko bakwata...kama hulijui ilo pole .
 
Back
Top Bottom