Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

Mi cjakuelewa umeficha sana ulichotaka kusema. Mbona unafumba kiasi kwamba unaogopa watu wasiijulika
 
Pole sana kwa kuichoka ccm lakini kwa mbinu mnazotumia ikulu mtaisikia tu. Mimi sina chama by the way.
huhitaji kusema kuwa huna chama.
Unashauri mbinu gani labda?
Girl..stay calm..take your way.we take our way
 
Hakuna niliposema Chadema ni Chama cha kanisa....ila nimeongelea mchango wa kanisa kwenye ukuaji wa Chadema...
kwani CHADEMA wamesema wanataka mchango wa kanisa kwenye kukua kwake>?
 

Heshima yake hiyo pia inapungua kwa maoni km haya aliyoyatoa.
 
Wewe unazungumzia KKKT siyo Katoliki!!
 
Kanisa katoliki chini ya ushawishi Wa dokta slaa waliweza kuingusha CUF Aàmbayo ilijikita vilivyo bara na visiwani kuchukua nchi, figisu za hili kanisa likaaibua chadema ambayo haikua hata na matawi lakini ikaibuka kuwa chama kikuu cha upinzani. Kanisa katoliki ndilo lililofanya nchi isitawalike enzi za jk propaganda za udini mpaka mkwele kaondoka madarakani kwa matusi na kejeli. Siasa za bongo pasua kichwa.
 
Mkuu wewe mtu mdogo sana huwezi mshauri Kardinali Pengo!! Kawashauri wanasiasa!! Huyu mzee amekuzidi mambo mengi sana yakiutu uzima!
 
Huujui ukatoliki unachangia nn kaa kimya sio kila uzi lazima uchangie angalia unapoweza kuchangia au kama hufahamu uliza wanaofahamu
 
Hayo ya kujiuzuli Papa Benedict yamekuja kwa sababu Askofu Pengo katoa maoni yake kama kiongozi mkuu wa jimbo katoliki la Dar?.

Jifunzeni kuzoea kusikia maoni yenye mantiki tofauti na zile mnazotembea nazo vichwani mwenu.
Kwa sababu afya yake sio nzuri tena kuongoza umati mkubwa hivi.Pia sababu aliyotoa inampinga pia, kasema kanisa lina njia yake ya kuwasilisha maoni, ila kasahau pia kanisa lina njia zake za kuwajibisha makasisi wake wanapotofautiana ndani kwa ndani.Kavunja sheria aliyotaka itetea.
 
endapo tu wewe hukuwa mmoja wa wale milioni sita tulioichagua CHADEMA...So huwezi kuwa na chochote Positive.
Watanzania wanaendelea kutuamini na wamewachoka CCM isivyo kifani
Hivi hivi milioni sita walichagua Chadema au walichagua Lowasa.?

Halafu kumbuka kuna CUF, NCCR na wengineo..!
 
Wewe hujui kitu mambo ya dini waachie wenyewe!
 
Na sasa wanajichimbia kaburi. Wakati ule. Ilikuwa ni kwa sababu ya Dr Slaa. Asikuambie MTU kwa sasa RC wako na JPM. Mwezao
 
Lowassa alisema "walutheri wenzangu"
 
CCM itaondoka madarakani ila sio kwa sera na mikakati mibovu ya Chadema.

Wengi hatuipendi ccm ila tukiangalia mbadala wake tunaona afadhali tena ya ccm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…