Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Time will tell, wewe endelea kung'ang'ania kuti kavu!Chadema upepo umebadilika...2020 mtalia zaidi
huhitaji kusema kuwa huna chama.Pole sana kwa kuichoka ccm lakini kwa mbinu mnazotumia ikulu mtaisikia tu. Mimi sina chama by the way.
kwani CHADEMA wamesema wanataka mchango wa kanisa kwenye kukua kwake>?Hakuna niliposema Chadema ni Chama cha kanisa....ila nimeongelea mchango wa kanisa kwenye ukuaji wa Chadema...
Ndio Mkuu Pengo sio Kanisa, lakini huwezi kupuuza ushawishi wa Kardinali pengo ndani kanisa...
Japo Kardinali pengo sio kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania, lakini watanzania wengi hasa wakatoliki wanamfahamu na kumheshimu Kardinali Pengo kuliko kiongozi yoyote yule wa kanisa nchini unaemfahamu wewe.
Wewe unazungumzia KKKT siyo Katoliki!!Uchaguzi wa 2010 Kanisa lilishiriki kikamilifu kuwashawishi waumini wake, kutoa waraka wa aina ya viongozi wanaohitajika, kutoa elimu ya uraia na haki zao kwa waumini wao.
Ni wakati huo Chadema ilikuwa inaungwa mkono na jamii kubwa hasa wasomi na vijana.
Ni wakati huo Watanzania wengi walijitolea kuitetea Chadema kwa jasho na Damu....
Ilifika wakati ikawa ni aibu kwa Mtanzania hasa wa mjini kujitambulisha yeye ni ccm.
Iwe kwenye mkusanyiko au vyombo vya usafiri ukitetea ccm jamii yote inageuka kukuangalia wewe ni mtu wa aina gani...
Hii yote ilichangia na ushawishi wa Kanisa....
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 uliweka rekodi kwenye siasa za upinzani Tanzania hasa Chadema, Chadema walichukua vijiji vingi sana hata kule ambako hakukutarajiwa walishinda.
Hii yote ilitokana na Mbegu iliyopandwa kwenye uchaguzi wa 2010.
Kosa kubwa mlilofanya ni kumkabidhi Lowasa chama, wenye akili walikaa pembeni na wengine kumuunga mkono Magufuli....wasomi wengi walikaa pembeni, watetezi walikata tamaa. chama kikabaki kutembelea kivuli cha 2010.
Kosa kubwa zaidi mnalolifanya ni kulishambulia Kanisa na viongozi wake, hili ndio kosa litakalowapoteza zaidi kwenye siasa za ushindani.
Dunia yote inatambua uwezo na nguvu ya ushawishi wa Kanisa, hivyo kujaribu kupambana na kanisa ni sawa na kunywa chai kwa mluzi....
Mkuu wewe mtu mdogo sana huwezi mshauri Kardinali Pengo!! Kawashauri wanasiasa!! Huyu mzee amekuzidi mambo mengi sana yakiutu uzima!Mwanahabari Huru
Askofu Pengo unafiki sio sehemu yetu wakatoliki, sikutaka kuandika chochote kuhusiana na wewe, mimi nimebatizwa katika RC nimekuwa muumini mkubwa, nimesoma shule ya Upadri St Mary's Seminary, ninaijua Rc.
Nimesikitishwa sana na kauli zako za kipuuzi, zilizo jaa unafiki, tumekusikia sana ukijipambanua kuwa wewe si muumini wa mabadiliko, tuambie upande wako ni UPI.
Askofu wangu Pengo umemjibu Askofu Niwemugizi alie jitokeza hadhalani na kusema watanzania wanataka katiba mpya, umefufuka ulikotoka na kumshambulia Askofu kuwa katiba au maneno ya Askofu sio msimamo wa RC lakini hakusema kuwa ni msimamo wa RC. Lakini unajua Askofu Niwemugizi si msemaji wa Rc, maana yake alisema kama Mawazo yake kikatiba, na wewe unamjua msemaji wa RC ulitaka kutafuta uhalali wa kujibu mashambulizi la watawala, of target.
Naona umetoka kwa kasi sana kujibu shambulizi hill!,! Lakini hutoki hadhalani kuonya matukio ya kuuwawa kwa watanzania na kutupwa kwenye maji wakiwa wamefungwa mikono Nyuma, wanaopigwa Risasi kama kina tundu Lissu, kuonya viongozi wanao toa maneno ya kibaguzi na kikabila, huwezi kuonya kufokea au kushauri, kazi yako imekuwa ni kujibu mashambulizi kwa wanao ikosoa serikali,
Au unavyeti feki? Unamiliki Mali zisizo halali? Kiongozi wa kiroho unashindwa kujua nini wajibu wako? Sio mala ya kwanza kupingwa na maaskofu wenzio akiwepo Gwajima na kupelekana mahakamani ambapo Askofu Gwajima alikushinda kesi.
Viongozi wa dini simamieni haki na sio unafiki kujipendekeza kama mnataka ubunge, au teuzi za kina mama Lwakatale sawa, Hata mkitaka usemaji wa Ccm nafasi za kina polepole.
Swali la Kizushi: WATU WASIOJULIKANA WANATOKEA RWANDA TUMUOMBE TUNDU LISSU
Sasa umetoa hoja gani!Kanisa Katoliki sio kama Bavicha.!
Kwa sababu afya yake sio nzuri tena kuongoza umati mkubwa hivi.Pia sababu aliyotoa inampinga pia, kasema kanisa lina njia yake ya kuwasilisha maoni, ila kasahau pia kanisa lina njia zake za kuwajibisha makasisi wake wanapotofautiana ndani kwa ndani.Kavunja sheria aliyotaka itetea.Hayo ya kujiuzuli Papa Benedict yamekuja kwa sababu Askofu Pengo katoa maoni yake kama kiongozi mkuu wa jimbo katoliki la Dar?.
Jifunzeni kuzoea kusikia maoni yenye mantiki tofauti na zile mnazotembea nazo vichwani mwenu.
Yap, take your way, but what is your destination?huhitaji kusema kuwa huna chama.
Unashauri mbinu gani labda?
Girl..stay calm..take your way.we take our way
Hivi hivi milioni sita walichagua Chadema au walichagua Lowasa.?endapo tu wewe hukuwa mmoja wa wale milioni sita tulioichagua CHADEMA...So huwezi kuwa na chochote Positive.
Watanzania wanaendelea kutuamini na wamewachoka CCM isivyo kifani
Wewe hujui kitu mambo ya dini waachie wenyewe!Kwa hiyo sifa ya unafiki Vatican kwa papa inakubalika? Kwani Niwemugizi sio Askofu wa Katoliki? Tena Niwemugizi ni Makamu Mwenyekiti wa TEC, kwa hiyo ukizungumzia Kanisa Katoliki Tanzania TEC ndio hasa wenyewe sio Pengo wala Papa. Usipindishe hoja tafadhali.
Vv
Lowassa alisema "walutheri wenzangu"Uchaguzi wa 2010 Kanisa lilishiriki kikamilifu kuwashawishi waumini wake, kutoa waraka wa aina ya viongozi wanaohitajika, kutoa elimu ya uraia na haki zao kwa waumini wao.
Ni wakati huo Chadema ilikuwa inaungwa mkono na jamii kubwa hasa wasomi na vijana.
Ni wakati huo Watanzania wengi walijitolea kuitetea Chadema kwa jasho na Damu....
Ilifika wakati ikawa ni aibu kwa Mtanzania hasa wa mjini kujitambulisha yeye ni ccm.
Iwe kwenye mkusanyiko au vyombo vya usafiri ukitetea ccm jamii yote inageuka kukuangalia wewe ni mtu wa aina gani...
Hii yote ilichangia na ushawishi wa Kanisa....
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2014 uliweka rekodi kwenye siasa za upinzani Tanzania hasa Chadema, Chadema walichukua vijiji vingi sana hata kule ambako hakukutarajiwa walishinda.
Hii yote ilitokana na Mbegu iliyopandwa kwenye uchaguzi wa 2010.
Kosa kubwa mlilofanya ni kumkabidhi Lowasa chama, wenye akili walikaa pembeni na wengine kumuunga mkono Magufuli....wasomi wengi walikaa pembeni, watetezi walikata tamaa. chama kikabaki kutembelea kivuli cha 2010.
Kosa kubwa zaidi mnalolifanya ni kulishambulia Kanisa na viongozi wake, hili ndio kosa litakalowapoteza zaidi kwenye siasa za ushindani.
Dunia yote inatambua uwezo na nguvu ya ushawishi wa Kanisa, hivyo kujaribu kupambana na kanisa ni sawa na kunywa chai kwa mluzi....
Kupitia wizi wa kura na mtutu wa bunduki Chadema haiwezi kuingia Ikulu, lakini kupitia katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi MACCM wanajua kipigo watakachokipata nchi nzima na hata ndani ya CCM wanajua hivyo maana wamechokwa kila kona ya nchi na sera zao MUFILISI.