Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndivyo ilivyo mkuu. Huyu pengo anataka kutuaminisha kwamba maneno yake ndo msimamo wa kanisa. Anataka kuwa kama makonda anajifanya yeye ndo mkuu wa wakuu wote wa mikoaMkuu raisi wa baraza la maaskofu ni wa Iringa, Ngalalekumtwa alichukua kutoka kwa huyo wa Mwanza Dr. Ruweichi na msaidizi ni Niwemugizi wa jimbo la Rulenge kama sijakosea!
Unakumbuka alichokifanya baba Kardinal Pengo wakati wa mvutano wa mahakama ya Kadhi?Alilolisema Askofu NiweMugizi linamashiko,vilevile lile alilolisema Kadinali Pengo nalo linamashiko.
Tatizo ni ubinafsi au kutafuta njia ya mkato kufikia kile tunachokitarajia,
Askofu wanaomuunga mkono wanachotaka ni katiba mpya kwa mawazo na fikra zao ndio mwarobaini wa maendeleo,udhibiti wa Mali za umma na uteuzi wa maofisa wa ngazi mbalimbali.
Maamuzi ya mambo muhimu yafanywe kwa utashi wa sheria sio utashi wa viongozi walioko madarakani.Askofu kaeleza msimamo wake kama Tanzania,japo ni vigumu kumtofautisha mawazo yake na wadhifa wake.
Kadinali Pengo naye kilio chake ni Katiba mpya ila anaomba suala hili liende taratibu na kwa mpangilio huku juhudi zikiendelea kufanywa na serikali katika kuhakikisha Huduma za afya na elimu vinaboreshwa.
Waamini Katoliki ni watiifu kwa viongozi wao ndo maana baada ya kauli ya Askofu Severin NiweMugizi sintofahamu imejitokeza je? Huu ndo msimamo wa kanisa?
Kadinali kwa nafasi yake kama Askofu mkuu wa jumbo kuu la Dar es salaam anawajibika kuwaeleza kondoo wake aliokabidhiwa kuwachunga.
Hivyo na Maaskofu wengine katika himaya zao nao wakiona sintofahamu kwa kondoo wao itawabidi kutoa ufafanuzi.
Kisha kanisa kwa utaratibu wake litakutana na kutoa msimamo wake wa kichungaji na kuitaka serikali nn ifanye kwa wananchi wake.
We nae umekutupuka tu msome pengo mpaka mwisho ndo ujue mawazo yake juu ya katiba anataka nini.Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Nae si alipewa mgao wa Escrow? Ndo maana haoni umhimu wa katibaNathubutu kusema Askofu wangu Pengo uzee unamwingia vibaya...hata hekima ile ya kawaida ambayo angeweza kuwa nayo kijana form four failure kwake imeshaondoka{natubu kunena haya juu ya mpakwa mafuta}ila ukweli lazima usemwe!!!sijui amehongwa au ninini sijui,labda nae anautafuta ukuu wa wilaya?!au ukatibu mkuu!inasikitisha.
Angejua mipika yake ya madaraka asingekuwa anasemea kanisa. Maana yeye siyo msemaji wa kanisa. Msemaji ni MkutwaPengo ni mtu wa heshima na anajua mipaka yake ya madaraka. Usilazimisha aingie kwenye siasa kama unavyotaka wewe.
Hata yy aliyoyasema si msimamo wa baraza la maaskofu ninavyofaham Mhasham Baba Askofu Niwemugizi ni makamu wa rais wa baraza la Maaskofu Tanzania lbd kama kuna mabadiliko yalifanyika lkn pia kardnal kwa sasa c mwenye afya njema kwa muda mrefu lkn pia na uzee hatuwezi jua hiyo ni kazi ya MUNGU szan kama yuko sawa sana ki fikra tumwachie roho mtakatifu ambaye ndiye mlinzi wetu,lkn pia c vibaya kwa pengo kumtetea rafiki yake huyu sizonje, niwemugizi ni mtu wa kusema kweli.Mhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
Pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Asiyejitambua huyu! Kauli ile ni msimamo wa Watanzania tulio wengi. Unazidi kupoteza mvuto kwenye jamii ya Watanzania kwa kutokemea maovu ya dikteta uchwara.
kubali kuelimishwa na wanaojua protocol ya kanisa katoliki. Tunaojua 2nakucheka tu, kwa Ww kuona Cardinal ni mkuu wa Maaskofu ktk nchi husika. Umeelimishwa lakini bado unajitia uchizi.Msimamo wa kanisa hutolewa mara baada ya Baraza la maaskofu kuketi,so wote hao kila mmoja ametoa maano yake binafsi.
Na kwa inshu ya ukubwa sijaelewa unamaanisha nini kwani kwa mujibu wa kanisa daraja ni la upadri tu hivyo vingine ni vyeo tu vinavyowekwa ili kuwepo kwa usimamizi na kardinali ndio msemaji wa mwisho wa kanisa ktk inchi husika so acha kupotosha watu.
Mkuu, Pengo ni askofu mkuu jimbo kuu katoliki la Daresalaam lkn pia ni kardinal Tanzania.Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Kazidi yuko kwenye sabini na kitu hiviHivi huyu ana miaka mingapi? Ameshafikisha ile 70 ya ahadi?
Askofu Pengo amekuwa misquoted. Yeye kasema Askofu Niwemugizi ni Mtanzania ana haki ya kutoa maoni yake, lakini ili kutowakwaza waamini ni vyema asisitize kuwa ni msimamo binafsi. Hii ni kwa vile Mkristu ukiona Askofu wako akisema yuko tayari kufa "kutetea katiba ya Warioba" au yuko tayari "kuitwa mchochezi" kutaka katiba mpya, huyo haongei Kimungu.Naona kama Kardinali alikuwa out of context kabisa!
Alilolisema Askofu NiweMugizi linamashiko,vilevile lile alilolisema Kadinali Pengo nalo linamashiko.
Tatizo ni ubinafsi au kutafuta njia ya mkato kufikia kile tunachokitarajia,
Askofu wanaomuunga mkono wanachotaka ni katiba mpya kwa mawazo na fikra zao ndio mwarobaini wa maendeleo,udhibiti wa Mali za umma na uteuzi wa maofisa wa ngazi mbalimbali.
Maamuzi ya mambo muhimu yafanywe kwa utashi wa sheria sio utashi wa viongozi walioko madarakani.Askofu kaeleza msimamo wake kama mtanzania,japo ni vigumu kumtofautisha mawazo yake na wadhifa wake.
Kadinali Pengo naye kilio chake ni Katiba mpya ila anaomba suala hili liende taratibu na kwa mpangilio huku juhudi zikiendelea kufanywa na serikali katika kuhakikisha Huduma za afya na elimu vinaboreshwa.
Waamini Katoliki ni watiifu kwa viongozi wao ndo maana baada ya kauli ya Askofu Severin NiweMugizi sintofahamu imejitokeza je? Huu ndo msimamo wa kanisa?
Kadinali kwa nafasi yake kama Askofu mkuu wa jumbo kuu la Dar es salaam anawajibika kuwaeleza kondoo wake aliokabidhiwa kuwachunga.
Hivyo na Maaskofu wengine katika himaya zao nao wakiona sintofahamu kwa kondoo wao itawabidi kutoa ufafanuzi.
Kisha kanisa kwa utaratibu wake litakutana na kutoa msimamo wake wa kichungaji na kuitaka serikali nn ifanye kwa wananchi wake.
kubali kuelimishwa na wanaojua protocol ya kanisa katoliki. Tunaojua 2nakucheka tu, kwa Ww kuona Cardinal ni mkuu wa Maaskofu ktk nchi husika. Umeelimishwa lakin bado unajitia uchiz.
Askofu Pengo amekuwa misquoted. Yeye kasema Askofu Niwemugizi ni Mtanzania ana haki ya kutoa maoni yake, lakini ili kutowakwaza waamini ni vyema asisitize kuwa ni msimamo binafsi. Hii ni kwa vile Mkristu ukiona Askofu wako akisema yuko tayari kufa "kutetea katiba ya Warioba" au yuko tayari "kuitwa mchochezi" kutaka katiba mpya, huyo haongei Kimungu.
Halafu kasema yeye Pengo hana uelewa wa economics au kilimo cha kisasa, kwa hiyo si sawa kujipiga kifua akitoa maneno makali halafu adai ni maoni binafsi. Ila kasema iwapo Askofu Niwemugizi angesema "Mungu ni mmoja", hapo angeeleweka kwa vile ana utaalamu nalo.
Hii ni safari ya pili Askofu Pengo kuokoa jahazi: wakati wa mchakato wa katiba, huyu huyu Niwemugizi aliitaka serkali ichapishe kaiva vitsbu milioni 27 kuwatosha wapiga kura wote (ni nyingi kuliko Biblia), akasema Watanzania waisome katiba tarajiwa, waielewe, halafu waikatae (vitabu milioni 27 tule hasara!!), na kwenye uchaguzi waikatae CCM.
Ndipo Kard. Pengo akawataka Watanzania waisome katiba, waielewe, halafu waamue wenyewe.
Askofu Niwemugizi wa Dayosisi ya Ngara anajulikana katika Kanisa kuwa ni mtu wa CHADEMA. Kabila lake ni Mhutu.