Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anampinga JK kwa kuwa hakuwa upande wake sasa hv huyu aliyekuwepo ni wa kwake atafanya kila liwezekanalo kumlinda.Yaani huyu Mzee kwa kweli anachekesha sana,alikuwa anampinga Kikwete kila jambo lakn sasa hivi eti anakanusha hata ukweli ulio wazi jamani hatari sana.
Huyu naye si yupo Escrow? duuuuuh hapa anatafuta huruma ya dikteta uchwara au mie simuelewi vileMhashamu Askofu Kardinali Pengo amesema kuwa kauli iliyotolewa na askofu Niwemugizi kuwa katiba mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi sio msimamo wa kanisa kwa sababu kanisa lina taratibu zake za kuishauri serikali au kuzungumzia masuala ya jamii.
Pia amesema kwake yeye katiba ni kitu kije baadaye si cha haraka.
chanzo: gazeti la Mwananchi via facebook.
Busara yake ya dini, kuzingatia amani na upendo ingemtuma kwenda kujadiliana mwenzake aidha amshauri aje athibitishe yeye mwenyewe kuwa hayo yalikuwa mawazo yake mwenyewe. Kuchukua uamuzi wa kumpinga hadharani si ukomavu kidini, si busara wala haionyeshi kuheshimiana wala kupendana kama dini inavyowataka wawe mfano mzuri kwa waumini waoPengo ni mtu wa heshima na anajua mipaka yake ya madaraka. Usilazimisha aingie kwenye siasa kama unavyotaka wewe.
Keshazidi mbona, saivi anaishi tu kwa ile miaka mingine ya NEEMA halaf anajifanya jeuri😛Hivi huyu ana miaka mingapi? Ameshafikisha ile 70 ya ahadi?
Vijana wa upinzani hata leo Mungu akirudi akasem anaikubali ccm mtampiga maweHuyu mzee anazeeka vibaya maana yeye syo msemaji wa maaskofu wala kikanisa syo kwamba yeye no bosi wa maaskofu wenzake
Naogopa kusema wewe ndio hujanielewa!Soma vizuri na uelewe....
hatuitaji uwe mtetezi wa huyu mzee aliyekumbatia watesi wa watu wa mungu....
huyu tunamjua amefunga ndoa na farao na yupo kwa manufaa ya farao tokea enzi za katiba mpya ya warioba na alikubali kujitenga na maaskofu wengine wote japo anajiaminisha kuwa yeye ndio kubwa la maaskofu wote tanzania.
#maharageyawapialiyokulahuyumzee#
Asiyejitambua huyu! Kauli ile ni msimamo wa Watanzania tulio wengi. Unazidi kupoteza mvuto kwenye jamii ya Watanzania kwa kutokemea maovu ya dikteta uchwara.