Maelezo yooote bado hujamuelewa tu.Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maelezo yooote bado hujamuelewa tu.Hamjamuelewa Pengo. Kasisitiza kuwa kuna utaratibu wa kanisa kuhusu kutoa matamko ya kisiasa. Sasa wapinga kila kitu wanakuja na mipash yao. Kwani pengo kasosea wapi? kwani Pengo kasema hataki katiba mpya?
Hufuati kauli ya Askofu? Basi wewe si Mkatoliki. Kama unatawaliwa na ushawishi wako unatawaliwa na ushawishi wa shetani. Endelea na hoja yako kama katiba inavyokuruhusu lakini futa kusingizio cha ukatoliki.
Tafuta ufafanuzi wa neno hili la kilatin ROMANA LOCUTA KAUTAFILITA.
Kisha ww ni mmoja unayepinga na kutoka nje waliowengi hubaki ndani bado hujajitafakari.
Nimekuelewa vizuri, ateast hata wengine walio nje ya mfumo catholic tunaweza elewa, niko na swali lingine, mfano ukiangalia katika archibishops or bishops wengi, majina yao mengi yanaanza na Rev francis,or Rev Musa, lakini ikifika kwa cardinal wanaanza na His eminence makanga etc, pengine haiwezi ikawa ni unification figure within the Catholic Church and society?.
Asiyejitambua huyu! Kauli ile ni msimamo wa Watanzania tulio wengi. Unazidi kupoteza mvuto kwenye jamii ya Watanzania kwa kutokemea maovu ya dikteta uchwara.
Sasa kama ni watanzania mlio wengi unadhani automatic ndio utakuwa msimamo wa Kanisa Katoliki? Hebu soma vizuri msomi anavyokueleza kuwa Kanisa Katoliki lina taratibu zake sasa yeye kasema kama yeye binafsi. Who are you kulazimisha ndio msimamow a Kanisa Katoliki?Asiyejitambua huyu! Kauli ile ni msimamo wa Watanzania tulio wengi. Unazidi kupoteza mvuto kwenye jamii ya Watanzania kwa kutokemea maovu ya dikteta uchwara.
Kama ww hukubariani kuwa miongoni mwa wengi basi kaa kimya huna sababu ya kuongeaWengi unamaanisha nini?unadhani kila mtu ni kama wewe?
Kardinali sio askofu wa kawaida. Ujue kwanza ni askofu wa Raisi wa nchi. Magufuli askofu wake ni pengo
.pili kardinali ana Siri za kanisa katoliki za dunia nzima na za Vatican ambazo askofu mwingine wa kawaida Hana sababu ni mjumbe wa vikao vizito vya Vatican ambavyo husimamia Mambo Ya kanisa. Pengo ni mtu wa Karibu na Papa. Magufuli akitaka kitu cha kumwambia Papa anaongea na pengo ambaye ni mtu wa karibu na Papa akamwambie hawezi kuongea na Niwemugizi ambaye mwisho wake ngara
Kwa cheo cha pengo ukuu wa wilaya,mkoa hata huo urais c chochote kwa kardinal hata uraia wa kardinal ni mataifa yote duniani mfano anaweza kuwa raia wa Tanzania lkn akawa mwakilishi wa papa popote duniani au kuwa kardinal wa Marekani wakati ni ktanzania hata tu askofu wa wa kawaida hawezi linganishwa na wilaya au mkoa.
Nani anamjua Nimewemugizi bhana? Pengo ndo kiongozi mkuu wa kanisa katoliki Tanzania, ndio maana wakatoliki kote Tanzania humuombea Pengo katika sala zao baada ya pope, huyu jamaa ndo anatoa report ya maaskofu wote Tanzania kwa pope juu ya mienendo yao na ku propose nani amrithi hapo baadae ,kwa hiyo pengo ni mkubwa wao.
Hujui nini maana ya cheo, hawazidiani cheo cha uaskofu,lakini cheo cha mfuatano wa kikangazi ya kanisa kwa kufuata hairakia ya kanisa Pengo ni mkubwa kuliko askofu mwingine wa nchi na taifa la kikanisa.Kwa mujibu wa taratibu za kanisa katoliki,askofu pengo sio msemaji wa kanisa,Msemaji ni Rais wa Baraza la maaskofu Tanzania,
Rais wa Baraza la Maaskofu ndio Bosi wa Maaskofu wote nchini na hata askofu pengo anakuwa yuko chini yake, pia kama askofu pengo hakiutumwa na Rais wa Baraza la Maaskofu,na yeye pia hana mamlaka ya kulisemea kanisa katoliki na alichosema ni maoni yake
Ukadinali wake ni kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Papa tu,ila yeye akiwa Tanzania kicheo ni Askofu wa Jimbo la Dar es Salaam,anataka watu waone kwamba Ukadinali ndio Ukubwa wa kanisa,Mkubwa wa kanisa ni Rais wa Baraza la Maaskofu Tanzania,na ni askofu wa Iringa Askofu Ngalalekumtwa na anayefatia kwa Cheo ni huyo Niwemugizi, Pengo yuko chini yake Rais wa Baraza
"first among equals" Pengo hamzidi Askofu yeyote kwa cheo,ni sawa na rafiki yangu sheikh mkuu wa mkoa wa Dar ajione mkubwa kuliko mashehe wa mikoa mingine
Kwa hiyo kazi Ya askofu ni kutafuta katiba mpya? Uwiii mbavu zangu mieHV huyu anafikiria kweli?
Aliuoataje uaskofu?
Hauoni kama tukiwa serious na katiba mpya hata huyo mtoto hawezi kukosa dawa au kufa njaa?
Huyu askofu Pengo huyu ndo maana gwajima alimuuliza umekula maharagwe ya wapi
Leo nimeelewa
We Jamaa!!unaomba mapenzi ya MUNGU YATIMUZWE JUU YAKE?hahahahaHovyo sana huyu jamaa. Mbona yeye ana kimbilia kujibu as if ndiye msemaji wa Kanisa? Kila nikilifikiria kanisa kwa hivi sasa na huyu jamaa, huwa naomba mapenzi ya Mungu yatimizwe juu yake
Hata yeye anatumika mkuu. Anajifanya ndo Kanisa Katoliki la Tanzania.Pengo yuko sahihi maana Kuna hawa wanasiasa uchwara huwa wanaenda kuwatumia viongozi wa dini kama njia.
Naona vijana wa Bavicha mnatokwa na povu baada ya Pengo kuwapiga za uso.
Yeye ametoa maoni yake yeye kama yeye wala hujasema huo ndiyo msimamo wa kanisa.Hata yeye anatumika mkuu. Anajifanya ndo Kanisa Katoliki la Tanzania.