Uchaguzi 2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

Uchaguzi 2020 Pengo la kukosekana Slaa na Lowassa laonekana wazi CHADEMA

YEHODAYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2015
Posts
36,902
Reaction score
52,001
Tukiwaambia kuwa Slaa na Lowassa ndio waliipaisha CHADEMA kisiasa Chadema wanajifanya kubisha

Lakini ushahidi wa wazi umeanza kuonekana CHADEMA siku Kama hizi miaka ya akina Slaa na Lowassa Chadema mitaani kote kulipambwa bendera za Chadema na kila Kona nyimbo za CHADEMA Chadema people's power ziliimbwa

Siku za mikutano ya CHADEMA daladala zilizidiwa uwezo watu walikanyaga kwa miguu toka mbali kuhudhuria mikutano ya CHADEMA. Sasa hivi hadi uzinduzi tu unatia huruma

Tundu Lissu naona keshaanza kupata meseji kuwa Sio popular na Hana nyota ya kuvuta watu wengi kwenye mikutano Kama ealivyokuwa akina Slaa na Lowasa Hana mvuto kabisa yaani crowd pulling ability ambayo Ni muhimu Sana kisiasa kuliko hata hotuba

Lowassa akihutubia sekunde tu lakini umati aliokuwa akikusanya Ni mkubwa mno

Lissu ana hotuba ndeeeeefu kwenye crown ndogo?

Tuliona Enzi hizo za Lowasa na Slaa mikutano Yao inajaa kiasi kuwa Huwezi piga kwa camera ya kawaida mikutano ilipigwa kwa drones zilizorushwa angani lakini Sasa hata ukiwa na Nokia tochi waweza piga mkutano wote wa Chadema

Inadikitisha Baada ya uchaguzi Mbowe ajiuzulu tu apishe mwingine.

Bila kumeza maneno Hali Chadema Ni mbaya mwenye macho hahitaji kuambiwa tazama aangalie tu idadi ya wahudhuriaji kwenye mikutano ya kampeni ya Uraisi ya Chadema
 
Taka taka rubbish

Haya nenda kachukue buku7 yako ukanywe supu
 
This
IMG-20200828-WA0033.jpg
 
Slaa alikua padri na makanisayaliunganna kumpinga Kikwete. Slaa Hakua popular zaidi ya udini ulitumika.
Lissu anakubalika sana kuliko magufuli na ni bora mara milion
 
Kwa mazingira ya kisiasa yalivyo tangu 2015 mpaka leo hakika Lile nyomi la mbagala limetuma message kwa watawala kwamba upinzani hauwezi kufa
 
Lisu alipaswa mwaka huu apumzike kwanza.....maaana anaonyesha kupaniki sana hadi wafuasi wanaogopa......anaonekana yuko desperate .....bado hajatulia vizuri, bora angeshauriwa mwaka huu apumzike tu ajipange na ajiandae kiakili na mwili....maana zoezi la uchaguzi mkuu sio lele mama.
mwaka huu chadema itashindwa vibaya sana haijawahi kutokea ktk chaguzi zozote za nyuma
 
Slaa ndiye aliyekuwa nguzo kuu ya CHADEMA; tangu ameondoka CDM haina mwelekeo tena. Ingawa Lowassa alikuwa na wafuasi kadhaa kutoka CCM, sababu kubwa iliyomvuta ni uimara wa CDM uliokuwa umejengwa na Slaa.
 
Back
Top Bottom