njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kazi alipewa sope na aliifanya kwa ufasaha mkubwa, kumtukana Mo dewji na biashara zake, waliomlipa pesa na marupurupu mengine kama gari na kumpangia nyumba masaki wako kwenye msongo wa mawazo
Je kazi ya kumtukana Mo dewji imetosha, bidhaa zake kuzitukana imetosha? jibu ni hapana, MTUKUKANAJI lazima apambaniwe ili aendelee na kazi maana ni sehemu ya job description
Kila la heri mtukanaji na walipaji mtukanaji, mpate haki yenu ya kisheria kuendelea na utukanaji