Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
Tangu Langa atutoke ni miaka 10 sasa sikuwahi kuona wa kuziba pengo lake.
Dizasta Vina a.k.a Maradona huyu jamaa kutokana na mpangilio wa verse zake, namna anavyoflow naweza kusema pengo la mwamba Langa limezibwa sasa.
RIP Langa