Pengo la Langa limezibwa na Dizasta Vina

Wu tang did the unthinkabke way back in thw 90s with Triumph, nyimbo haina korasi na ni ndefu 7minutes na ni real hip hop, it defied the rules and ended up being the hit na ikapata radio na tv time ya kutosha, stop lying na hizo lazy excuses zake ati dk 8, yeye ndio wa kwanza?
Mkuu unaongelea wapi?

Unaongelea dunia ambako watu wanajua ukubwa wa kazi na content, au unaongelea huku ambako watu wanapenda *kumrudia ex wako na kufa bora KUFA?

You can't be serious broh.

We discuss content here,

Sikiliza no body is safe no. 1.

Utakuja kusema hapa Hiyo content unakuta kwa msanii yupi?
 
Naongelea bongo hii hii ya wakali prof jay, fid q, fa, stamina na wakali kibao wa hip hop na still wana commercial success
 
Bro ichambue shahidi..

Ukiweza kung'amua hata codes kadhaa.. Njoo inbox uniachie namba nikuwekee hata vocja
Okay, japo kuwa sikuwahi kuona codes ngumu kwenye hiyo nyimbo.

Msanii ana lengo la kufungua akili watu, ili watu watambue usiri uliopo kwenye kira jambo/tukio(nyuma ya pazia) hasa kwa 3rd countries

Ndiyo maana kaonyesha,

1:Tabaka la walio nacho na wale wasio nacho.
2:Ufinyu wa uhuru wakutoa taarifa.
3:Uzembe wa binadamu unapelekea vifo vinavyoweza kuepukika.
4:Hofu.
5:Mapenzi katika maeneo ya kazi yana pumbaza na kudumaza utendaji wa wakazi.
6😀uniani tunapita.
 
Kusema tu hujaona codes i.e. Huwezi kuilewa hiyo ngoma.

Mfano T 9 12.. Independents date

Maria s... Ni nani huyu reporta?

Martin.... Na huyu nae?
Tarehe ya meli kuzama... (Inatoa ujumbe gani)

Bro vina anaandika beyond the scope!

Hiyo ni intro tu... Unajua vile viboko 38.. What does it mean?

So umejaribu Kufanya analysis ndogo ya taswira ya nje.

Ila in deep kuna content ambazo wanaelewa wachache sana...

Sikwambii usikize mwanajua utatoka mweupe.
 
Naongelea bongo hii hii ya wakali prof jay, fid q, fa, stamina na wakali kibao wa hip hop na still wana commercial success
Nani kati ya hao ana nyimbo yenye 8+ min.

Afu ikawa inapigwa media..

Unahisi kuandika 8+ na ukastick na topic ni rahisi?

Bro nitajie ngoma ya vina moja unayoijua.

Sio ulosikiza mara moja.. I mean unaijua vizuri.. Moja tu.. Afu tu preview content tuje tulinganishe na hao wengine..

Vina is genius in industry. Kamsikize Hata yule jamaa wa simulizi na sauti youtube akiifanyia analysis TRIBULATION utaelewa kidogo..

Na uta pay respect kidogo kwa Vina
 
Kusema tu hujaona codes i.e. Huwezi kuilewa hiyo ngoma.

Mfano T 9 12.. Independents date

Maria s... Ni nani huyu reporta?

Martin.... Na huyu nae?
Tarehe ya meli kuzama... (Inatoa ujumbe gani)

Bro vina anaandika beyond the scope!

Hiyo ni intro tu... Unajua vile viboko 38.. What does it mean?

So umejaribu Kufanya analysis ndogo ya taswira ya nje.

Ila in deep kuna content ambazo wanaelewa wachache sana...

Sikwambii usikize mwanajua utatoka mweupe.
Mkuu! umesoma vizuri kwenye Aya ya pili lakini?.

Nimejaribu kuweka usanii kidogo, ila Hizo code zinaeleweka mzee.
 
Nani kati ya hao ana nyimbo yenye 8+ min.

Afu ikawa inapigwa media..

Unahisi kuandika 8+ na ukastick na topic ni rahisi?

Bro nitajie ngoma ya vina moja unayoijua.

Sio ulosikiza mara moja.. I mean unaijua vizuri.. Moja tu.. Afu tu preview content tuje tulinganishe na hao wengine..

Vina is genius in industry. Kamsikize Hata yule jamaa wa simulizi na sauti youtube akiifanyia analysis TRIBULATION utaelewa kidogo..

Na uta pay respect kidogo kwa Vina
Ndo sababu nimekuambia mnajua nyie wapenzi wake zaidi, general public haimjui. Nilimuona dk 10 za maangamizi nikavutiwa, nikamsearch youtube verteller nikasikiliza, it is alright, good stuff, but nothing exceptional or extraodinary. Sasa kelele zenu wapenzi wake kwa tulio skiliza hip hop for close to 4 decades its like he is the next big thing wakati he is just on same group just like the rest of the pack
 
Its your opinion..

Any one has right of that,

So kama kuna wanaoona Vina ni extraordinary they are right too, to their opinion..
 
Good, haya hiyo content ndio unaweza i compare na nyimbo ipi vile?

Rafiki ya Langa.? Au matawi ya juu?
Ukitaka hivyo, jaribu kuangalia!

1:Wakati wa Langa mziki ulikuwaje?
2:Langa agekuwepo na angekuwa anachana Bado mziki wake ungekuwaje?
3Matukio Gani yalitokea na vyanzo vya Upatikanaji wa taarifa ulikuwaje ilikutengeneza content nzuri?
4:Mapromota, DJ's media zilihitaji mziki ya aina gani.?..

Alafu muweke Dizasta kwenye kipindi hicho chakina Langa.
 
Vina asingetoboa kipindi hicho
 
Vina asingetoboa kipindi hicho
Jamaa inabidi asikilize mziki wa zamani(kina Sugu Pro Jay ,mtoto wa dandu na Dudu baya) aje na kipindi cha kina(Jay moe, Fa, Ngwea, Langa,A Y n.k)

Alafu aje pia kipindi chakina(Chid benzi, Joh makini,Rado, Cp n. K).

Asisahau na kina(Godzilla,Young d,Dogo janja).

Amalize na kina(Darasa, Stamina, Country boy)

Akisha malizana na wakina(Young killer) ndiyo aje alinganishe na hao wakina Dizasta.
 
Its your opinion..

Any one has right of that,

So kama kuna wanaoona Vina ni extraordinary they are right too, to their opinion..
Then story za kwamba ni mkali kuliko Langa zinatoka wapi? He cant even come close
 
Lete hiyo ngoma ya Langa tuiweke na ngoma moja ya vina..

Sioon huo uandishi wa kumteteresha vina kwenye hii industry
Thats called dick riding, msitumie jina la mnyamwezi kutaka kupata fame
 
Jamaa inabidi asikilize mziki wa zamani(kina Sugu Pro Jay ,mtoto wa dandu na Dudu baya) aje na kipindi cha kina(Jay moe, Fa, Ngwea, Langa,A Y n.k)

Alafu aje pia kipindi chakina(Chid benzi, Joh makini,Rado, Cp n. K).

Asisahau na kina(Godzilla,Young d,Dogo janja).

Amalize na kina(Darasa, Stamina, Country boy)

Akisha malizana na wakina(Young killer) ndiyo aje alinganishe na hao wakina Dizasta.
Si muweke hizo ngoma tizifanyie comparison..

Mnaeleza nadharia tu but hamjui Vina wala hamumskizi.

Bakin na hao mapupular artist.. Vina ana kiti cha peke yake
 
Ukitaka hivyo, jaribu kuangalia!

1:Wakati wa Langa mziki ulikuwaje?
2:Langa agekuwepo na angekuwa anachana Bado mziki wake ungekuwaje?
3Matukio Gani yalitokea na vyanzo vya Upatikanaji wa taarifa ulikuwaje ilikutengeneza content nzuri?
4:Mapromota, DJ's media zilihitaji mziki ya aina gani.?..

Alafu muweke Dizasta kwenye kipindi hicho chakina Langa.
Bro vina anaimba mziki ambao hauhitaji katika kipindi hiki.. Thus why hayuko main stream..

Lets discuss content hizi mnazoleta ni siasa..

Weka hizo kazi za Langa inayoweza kusimama na hata
1. Yule yule
2. Money
3. Tatoo ya asili.

Hamumjui vina. Sikilizeni hizo yoh yoh yoh za kina Killer ndio saizi yenu
 
Thats called dick riding, msitumie jina la mnyamwezi kutaka kupata fame
Bro vina na fame wapi na wapi mzee..

Nilishakwambi mwamba akaamua kubaki underground na ndio maana ana stick na misingi yake since Day one.

Kasikilize BEST FRIEND. We humjui vina.

Hauna content za ku discuss vina.

Huyo Langa tu mna refer nyimbo tatu 🤔 tu.

Afu umuweke na Vina..
 
Back
Top Bottom