koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Yule yule naielewaUnataka Flow?
1. No body is safe 1 - 4
2. Yule yule
3. Money
4. Maabara
5. Tribulation
6. Best friend
Bro zipo nyingi endelea kula madini ya Vina..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule yule naielewaUnataka Flow?
1. No body is safe 1 - 4
2. Yule yule
3. Money
4. Maabara
5. Tribulation
6. Best friend
Bro zipo nyingi endelea kula madini ya Vina..
Nataka kuepusha pressure sitaki kuchechezea pesa, najichanga Ili dor zidable...💪💪💪Yule yule naielewa
ngoma inaanza anasifia mtaa anaotokea nikicheki ni kama mtaa ninaoishi mimiNataka kuepusha pressure sitaki kuchechezea pesa, najichanga Ili dor zidable...💪💪💪
unasemaje mkuu
DVina ni mnyamaNipo hapa naisikiliza ngoma ya Best Friend ya Disasta, dah huyu mjomba anaandika aisee. Hana mfano wa karibu kwa sasa
Bado wanamlinganisha na watu ajabuRushwa umaskini vita vya kidini lini africa itapata tiba ya ukimwi...........LANGA huyu jamaa alikuwa [emoji91]