Pengo la Langa limezibwa na Dizasta Vina

Consious people pekee ndio wanaweza kumuelewa vina. Haimbi kwa ajili ya watu wote.. Na ndio maana hawi na hataki kuwa popular
Hamna cha conscious wala upupu wowote, kuna ma conscious wenye hits kibao sio fan boy wenu
 
Bro kasikilize shahidi, au mwanajua.. Then uje useme hapa ulichoelewa.. 😁 😁 😁

Unaweza sema vina hana hits sahihi coz ha run makin stream.. Ila vina hana copy kwenye industry.. Hata copy mbaya haipo..
 
You overate that kid mc, kuna tons of underground mcs who kept real and still managed to score both commercial success and were critically acclaimed. Coming back to your boy i dont see neither, man shut the fk up
 
Uwezi mfananisha Langa na Dizasta mkuu!

Unamvunjia heshima Langa(labda kama unataka watu waka muongezee viewers YouTube na WA download nyimbo zake).

Kasikilize Ngoma ya:
1:Nihayo tu ya Fid q ft pro Jay &Langa. Utaona jinsi alivyo chafua mazingira humo ndani

2:Matawi ya juu.
Ngoma inakupa vibes ya maana na verse zenye heshima.

3: Rafiki.
 
Ngoma gani ya vina umeisikiza? Tuanzie hapo..

Nipe hata ngoma 3 za vina unazozijua vizuri
 
Nimesikiliza karibia nyimbo zake zote, nani kaona nizakawaida tu.

Labda unipe list ya nyimbo unazozielewa wewe za huyo Dizasta.Tuzi chambue!
 
You overate that kid mc, kuna tons of underground mcs who kept real and still managed to score both commercial success and were critically acclaimed. Coming back to your boy i dont see neither, man shut the fk up
Issue ni kuwa vina yupo alipo coz yeye pia ametaka kuwa hapo.

Hataki kwenda main stream kwa maneno yake mwenyewe akisema kuna vitu huwezi
Fanya kwa uhuru ukishaingia makin stream.

Hatia V ina dakika 8+, best friend ina 8+, tribulation ina 11+
Media gani itacheza wimbo wa dakika 8?

Issue ya commercial is out of fans.. Maadam yeye mwenyewe anasema inamlipa sisi tunaenjoy good music..

Kasikilize BEST FRIEND uje useme Umeelewa nini hapa. Ili nijue kweli unaskiza music.

Then utaskiza TRIBULATION ambayo mpaka watu wa media wamesaidia kuifanyia uchambuzi baadhi ya line kuwasaidia muelewe.

Vina is genius.
 
Nimesikiliza karibia nyimbo zake zote, nani kaona nizakawaida tu.

Labda unipe list ya nyimbo unazozielewa wewe za huyo Dizasta.Tuzi chambue!
Bro ichambue shahidi..

Ukiweza kung'amua hata codes kadhaa.. Njoo inbox uniachie namba nikuwekee hata vocja
 
Issue ni kuwa vina yupo alipo coz yeye pia ametaka kuwa hapo.

Hataki kwenda main stream kwa maneno yake mwenyewe akisema kuna vitu huwezi
Fanya kwa uhuru ukishaingia makin stream.

Hatia V ina dakika 8+, best friend ina 8+, tribulation ina 11+
Media gani itacheza wimbo wa dakika 8?

Issue ya commercial is out of fans.. Maadam yeye mwenyewe anasema inamlipa sisi tunaenjoy good music..

Kasikilize BEST FRIEND uje useme Umeelewa nini hapa. Ili nijue kweli unaskiza music.

Then utaskiza TRIBULATION ambayo mpaka watu wa media wamesaidia kuifanyia uchambuzi baadhi ya line kuwasaidia muelewe.

Vina is genius.
Wu tang did the unthinkabke way back in thw 90s with Triumph, nyimbo haina korasi na ni ndefu 7minutes na ni real hip hop, it defied the rules and ended up being the hit na ikapata radio na tv time ya kutosha, stop lying na hizo lazy excuses zake ati dk 8, yeye ndio wa kwanza?
 
Back
Top Bottom