Kichaka12
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 300
- 263
Mkuu unaongelea wapi?Wu tang did the unthinkabke way back in thw 90s with Triumph, nyimbo haina korasi na ni ndefu 7minutes na ni real hip hop, it defied the rules and ended up being the hit na ikapata radio na tv time ya kutosha, stop lying na hizo lazy excuses zake ati dk 8, yeye ndio wa kwanza?
Unaongelea dunia ambako watu wanajua ukubwa wa kazi na content, au unaongelea huku ambako watu wanapenda *kumrudia ex wako na kufa bora KUFA?
You can't be serious broh.
We discuss content here,
Sikiliza no body is safe no. 1.
Utakuja kusema hapa Hiyo content unakuta kwa msanii yupi?