Yule yule naielewaUnataka Flow?
1. No body is safe 1 - 4
2. Yule yule
3. Money
4. Maabara
5. Tribulation
6. Best friend
Bro zipo nyingi endelea kula madini ya Vina..
Nataka kuepusha pressure sitaki kuchechezea pesa, najichanga Ili dor zidable...πͺπͺπͺYule yule naielewa
ngoma inaanza anasifia mtaa anaotokea nikicheki ni kama mtaa ninaoishi mimiNataka kuepusha pressure sitaki kuchechezea pesa, najichanga Ili dor zidable...πͺπͺπͺ
unasemaje mkuu
DVina ni mnyamaNipo hapa naisikiliza ngoma ya Best Friend ya Disasta, dah huyu mjomba anaandika aisee. Hana mfano wa karibu kwa sasa
Bado wanamlinganisha na watu ajabuRushwa umaskini vita vya kidini lini africa itapata tiba ya ukimwi...........LANGA huyu jamaa alikuwa [emoji91]