Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
 
Vpn haisaidii?
 
Hebu toa ujinga , yeye ndio alikua behind the scene ya hili jambo na ndie alie anzisha wizara hii mpya , mwezi wa pili wakati Ndugulile anatangaza haya mabadiliko ulikua umefariki ?
 

Kweli wajinga hawawezi kuisha ,unajua kwamba JIWE ndio aliyepandisha bei za BANDO?
 
Wa kuvaa viatu vya JPM bado hajazaliwa mkuu.
 
Tatizo akili yako ulishiweka kwenye dustbin za pale mtaa wa lumumba. Huyo unayempigia chapuo ndiye aliyeidhisha huu utopolo. Ni baada ya kuona malaika wa kuzima mitandao anachelewa ndo akaamua kupandisha gharama za bando ili wakosoaji wa mtandaoni wapungue.
 
We jinga sana. Yeye ndie muasisi wa huu upumbavu, lengo mshindwe kununua vifurushi na kumsoma Kigogo2014. Hii zee lilikuwa la hovyo sana.
 
Adui yetu mkubwa ni FAISTINE NDUNGULILE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…