Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

Alishanadi kuwa yeye si muumini wa mitandao na alitamani Malaika ashuke kushughulikia Mitandao

Na kwa alichokifanya Waziri Ndungulile huenda alikuwa anajua kinachoendelea kwenye Wizara...Sasa inakuwaje awe pengo?

Una hakika?
IMG_0131.jpg
 
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Kama zamani ni vipi na hii mpya iliamrishwa na nani kwa maslahi gani na ya nani.Jee ni makampuni ya simu yaliyokosea kufuata maelekezo au ni maelekezo hayakuwa na faida kwa watumiaji.Nisaidie kupata jibu.
Haya mambo ya kumkumbuka aliyekwisha kufa kwa kila kitu wakati Mungu yupo hayana faida sana.
 
Mkuu we ulie tu. Mama keshakula kiapo na anaendelea kuchapa kazi.
 
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Kama ungeliweza kukaa kimya ungelificha upambavu wako ..hapa sijiu ni mdomo au mikono imekuponza kuonyesha ulivyo mnafki na mzandiki wa viwango vya kimataifa vya juu kabisa karibu na wawinguni..

Jitafakari na imani yako uliyokuwa unaamini kama angekuwepo angeshatimua mtu..waza tena mara ya pili hilo pengo uliloliona je lilikuwa ni pengo kweli ?Au ni mwendo wa kusifu,kutukuza na kuabudu mnaendeleza
 
Kipindi kile ameongea Hayati ulikuwa wapi hukusikia?

Na huyu Waziri Ndungulile kwanini aseme vitashuka mwezi ujao, unajua maumivu yake? unajua gharama ambazo wangetumia raia katika kusubiri hicho kipindi?

Na kama anajua vitashuka kwanini kusubiri mwezi ujao vishuke?
 
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Huu mchakato wa kupandisha vifurushi ulianza wakati Jiwe akiwa hai.Ndungulile alikuwa ni waziri katika baraza la mawaziri la Jiwe.Jiwe kama mwenyekiti wa Baraza hilo,alikuwa anajua fika kuhusu upandishwaji wa vifurushi.Waziri hawezi fanya jambo lolote pasipo boss wake,Jiwe, kujua.Kama kungekuwa na utumbuaji ingekuwa tu ni kwa ajili ya kutaka tension aonekane yeye anajali wananchi wanyonge na maskini.Kama ambavyo hucheza hiyo michezo siku zote!
 
Hebu toa ujinga , yeye ndio alikua behind the scene ya hili jambo na ndie alie anzisha wizara hii mpya , mwezi wa pili wakati Ndugulile anatangaza haya mabadiliko ulikua umefariki ?
Mwelezee labda hakuwepo
 
Acha uzwazwa wewe..yeye ndo alikuwa injinia wa huo mchongo,unadhani mchakato huo umeanza jana na kukamilika jana hiyohiyo?.
Hivi bila bando hamuwezi kuishi?
Mbona pombe kuna watu hawanywi na wanaishi?

Vitu vya anasa vyote vioandishwe bei naunga mkono yaani vifurushi,sigara,pombe,soda,sukari,mafuta,n.k
 
Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Huyu marehemu wako si ndo alitamani kushuka malaika aizime mitandao? Sasa hichi kilochotokea ni matokeo ya kile ambacho alikwisha kipanga sometimes ago. Na kwa bahati mbaya kimekuja juu wakati Mola ameshamuwajibisha.
 
Comment yangu kwa mazwazwa km hawa huwa inaishia moyoni tu maana...
Wewe ndiyo zwazwa unayelalamikia vifurushi wakati una mambo mengi sana ya kulalamikia kama maji,matibabu,n.k

Vifurushi kwa waliowengi havina msaada wanatumia ovyo tu muda wote wako mitandaoni litukana watu na kianzisha nyuzi za kijinga bora wapunguzwe now
 
Hivi bila bando hamuwezi kuishi?
Mbona pombe kuna watu hawanywi na wanaishi?

Vitu vya anasa vyote vioandishwe bei naunga mkono yaani vifurushi,sigara,pombe,soda,sukari,mafuta,n.k
Go faki yourself..wewe unadhani kila anayetumia data anatumia kama starehe?..wengine wanafanya kazi kwa kutumia data..internet inaenda kuwa basic need kwa binadamu.
 
Back
Top Bottom