Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

Pengo la Magufuli limeanza kuonekana kwenye hili swala la vifurushi

Umekula lakini? Isije kuwa ni njaa inakusumbua mkuu
 
Hebu toa ujinga , yeye ndio alikua behind the scene ya hili jambo na ndie alie anzisha wizara hii mpya , mwezi wa pili wakati Ndugulile anatangaza haya mabadiliko ulikua umefariki ?
Msamehe huyo mnyonge haelewi nini kinaendelea
 
Pengo gani wakati alisema anatamani malaika wazime mitandao?

Umesahau alichokifanya October 28?
 
Back
Top Bottom