Alishanadi kuwa yeye si muumini wa mitandao na alitamani Malaika ashuke kushughulikia Mitandao
Na kwa alichokifanya Waziri Ndungulile huenda alikuwa anajua kinachoendelea kwenye Wizara...Sasa inakuwaje awe pengo?
Kama zamani ni vipi na hii mpya iliamrishwa na nani kwa maslahi gani na ya nani.Jee ni makampuni ya simu yaliyokosea kufuata maelekezo au ni maelekezo hayakuwa na faida kwa watumiaji.Nisaidie kupata jibu.Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Kama ungeliweza kukaa kimya ungelificha upambavu wako ..hapa sijiu ni mdomo au mikono imekuponza kuonyesha ulivyo mnafki na mzandiki wa viwango vya kimataifa vya juu kabisa karibu na wawinguni..Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Kipindi kile ameongea Hayati ulikuwa wapi hukusikia?Una hakika?View attachment 1741920
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo alipokuwa anaharibu huku akijua anakaribia kufa alitegemea nani amtetee?
Huu mchakato wa kupandisha vifurushi ulianza wakati Jiwe akiwa hai.Ndungulile alikuwa ni waziri katika baraza la mawaziri la Jiwe.Jiwe kama mwenyekiti wa Baraza hilo,alikuwa anajua fika kuhusu upandishwaji wa vifurushi.Waziri hawezi fanya jambo lolote pasipo boss wake,Jiwe, kujua.Kama kungekuwa na utumbuaji ingekuwa tu ni kwa ajili ya kutaka tension aonekane yeye anajali wananchi wanyonge na maskini.Kama ambavyo hucheza hiyo michezo siku zote!Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Mwelezee labda hakuwepoHebu toa ujinga , yeye ndio alikua behind the scene ya hili jambo na ndie alie anzisha wizara hii mpya , mwezi wa pili wakati Ndugulile anatangaza haya mabadiliko ulikua umefariki ?
Hivi bila bando hamuwezi kuishi?Acha uzwazwa wewe..yeye ndo alikuwa injinia wa huo mchongo,unadhani mchakato huo umeanza jana na kukamilika jana hiyohiyo?.
Huyu marehemu wako si ndo alitamani kushuka malaika aizime mitandao? Sasa hichi kilochotokea ni matokeo ya kile ambacho alikwisha kipanga sometimes ago. Na kwa bahati mbaya kimekuja juu wakati Mola ameshamuwajibisha.Nina imani angekuwepo mzee hili swala la vifurushi kupanda bei na viwango kuna watu saivi angekuwa tiyali kashawatumbua na wengine wameshaondolewa mpka sasa nimeshanga serikali imetoa tamko swala la vifurushi kurudishwa kama zamani ila naona wahusika wa mitandao bado hawajarudisha vifurushi
Wewe ndiyo zwazwa unayelalamikia vifurushi wakati una mambo mengi sana ya kulalamikia kama maji,matibabu,n.kComment yangu kwa mazwazwa km hawa huwa inaishia moyoni tu maana...
Kuna mtu alikuwa na akili kama zako tumezika juzi hapaHivi bila bando hamuwezi kuishi?
Mbona pombe kuna watu hawanywi na wanaishi?
Vitu vya anasa vyote vioandishwe bei naunga mkono yaani vifurushi,sigara,pombe,soda,sukari,mafuta,n.k
Yaana hawa walamba viatu wana tabu sana 🤣Bora vingekuwa vizuri,sasa viatu vimetobokatoboka nani atavaa.
Sana yaaniYaana hawa walamba viatu wana tabu sana [emoji1787]
Go faki yourself..wewe unadhani kila anayetumia data anatumia kama starehe?..wengine wanafanya kazi kwa kutumia data..internet inaenda kuwa basic need kwa binadamu.Hivi bila bando hamuwezi kuishi?
Mbona pombe kuna watu hawanywi na wanaishi?
Vitu vya anasa vyote vioandishwe bei naunga mkono yaani vifurushi,sigara,pombe,soda,sukari,mafuta,n.k
Utaishia tu kupigwa banComment yangu kwa mazwazwa km hawa huwa inaishia moyoni tu maana...