Peniela (Story ya kijasusi)

Haa wewe mchoyo nakumbuka nilikuomba hicho kitabu.kila nikienda kuuliza block 41 naambiwa bado.uniazime ila sipo tena dar
mkuu hicho kitabu kinatumika vyuoni so kimekuwa LULU sana aisee. sasa nikikuazima huwezi rudisha
 
View attachment 405837 vitabu vinapatikana hapo ilala Amana karibu na Boa Bank
mkubwa vitabu vya msiba kama kikosi nitapata hapo?? na kitabu cha unyama wa mafia part 2 cha zahir aly zoro nitakipata hapo mkuu .plz plz kama vipo nitajie bei nikutumie pesa kabisaa mkuu
 
Nadhani mkuu Lege alisema story ina seasons 5 na kila season itakuwa na episodes 36, season ya 4 naona imekuwa fupi
 
Baada ya kutafakari kwa makin nimegundua lege ameanza kulinga kama bongo movie sasa nimeamua kutunga na mm story ya kijasusi inayoenda kwa jina la SHUNIE hii ni zaidi ya story ntaanza kuiweka kesho mtasahau hii na mm kila siku ntakua nashusha mzingo wa kutosha
 
Hata Mathew ilimchukua muda kukubaliana na hali ya marafik zake kuchomwa moto na familia yake pia....
 
Dar es salaam Usiku kinapatikana?

Na vipi kuhisi Simu ya Kifo?
 
Asante sana Mkuu, nasikia vitabu vya Musiba vya enzi hizo vilipigwa biti na serikali sijui kweli!? Kama ndivyo basi hata utunzi wa riwaya aina ya Peniela unaweza kupigwa ban pia.
 
Rubawa kiu yangu kuu ni hivyo vya Musiba nakumbuka vilikuwa 4 sikumbuki majina kwani nilivisoma nikiwa mdogo ila navitamani kuvirudia sasa...Kikomo, Kisasi, ........
Hivyo vitabu dhima yake hasa ni nini mkuu? Au ndo Peniela type?
 
Haha haha mkuu nawewe unataka uwe talk of the town kama LEGE haya bwana shusha vitu.Mimi binafsi napenda story za kimafia.kiterrorist na kijasusi hivyo nitakuwa mpole hapa.Hiyo nyingine aliyoanzisha sio zangu.Mkuu LEGE akishusha mizigo kama Day of The Jackal au The God father .....Au Air force one mimi hapo ndio kwangu vitu kama34hrs
 
Wewe kumbe tunaweza kuzungumza lugha moja.
Kilichopo ni kusisitiza zipatikane kwa kila namna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…