Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkubwa vitabu vya msiba kama kikosi nitapata hapo?? na kitabu cha unyama wa mafia part 2 cha zahir aly zoro nitakipata hapo mkuu .plz plz kama vipo nitajie bei nikutumie pesa kabisaa mkuuView attachment 405837 vitabu vinapatikana hapo ilala Amana karibu na Boa Bank
We we we aisee Chloe nyo.koooMimi namfananisha na Chloe kwenue 24 alivyo msaada kwa Jack Bawa
Hehehehe na ww umemuonja nn mkuuDuuh naona mi nitafukuzwa kazi kwa sababu ya peniela
Hata Mathew ilimchukua muda kukubaliana na hali ya marafik zake kuchomwa moto na familia yake pia....Duh waliosema "misfortune never come single "walimaanisha umejitahidi kuorodhesha dhahma zote zilizo mtokea jaji ili wadau humu ambao 99%wanamlaumu jaji nao wajaribu kuvaa viatu vyake kama vitawatosha.
Sisi binadamu tuna uwezo tofauti wa kukabiliana na mambo kama methew ingawa wengi tungependa kuwa hivyo.
copy au orijino mkuu?View attachment 405837 vitabu vinapatikana hapo ilala Amana karibu na Boa Bank
Dar es salaam Usiku kinapatikana?VYA MSIBA KUVIPATA NI SHIDA SANA MKUU lakini vya joram kiango like tutarudi na roho zetu,ni zamu yako kufa,roho ya paka,mtambo wa mauti,mikataba ya kishetani ,dar es salaam usiku n.k vinapatikana hapa dar sehem nyingi hata mwenge pale kwenye stend ya mwenge ukiwa unatokea tegeta hapo efata kuna muuza magazeti anavyo au kinondoni DUKA LA RIWAYA unavipata mkuu muuzaji 0655428085 anaitwa zamira au mwanae wa mtobwa yupo humu humu anaitwa nameless girl kama sijakosea id yake
Kila lililo kheri katika safari unayoianza.Msinitingishe ndio naanza kuisoma ili twende sawa...!
Asante sana Mkuu, nasikia vitabu vya Musiba vya enzi hizo vilipigwa biti na serikali sijui kweli!? Kama ndivyo basi hata utunzi wa riwaya aina ya Peniela unaweza kupigwa ban pia.VYA MSIBA KUVIPATA NI SHIDA SANA MKUU lakini vya joram kiango like tutarudi na roho zetu,ni zamu yako kufa,roho ya paka,mtambo wa mauti,mikataba ya kishetani ,dar es salaam usiku n.k vinapatikana hapa dar sehem nyingi hata mwenge pale kwenye stend ya mwenge ukiwa unatokea tegeta hapo efata kuna muuza magazeti anavyo au kinondoni DUKA LA RIWAYA unavipata mkuu muuzaji 0655428085 anaitwa zamira au mwanae wa mtobwa yupo humu humu anaitwa nameless girl kama sijakosea id yake
Rubawa kiu yangu kuu ni hivyo vya Musiba nakumbuka vilikuwa 4 sikumbuki majina kwani nilivisoma nikiwa mdogo ila navitamani kuvirudia sasa...Kikomo, Kisasi, ........View attachment 405837 vitabu vinapatikana hapo ilala Amana karibu na Boa Bank
Hahahaa Katavi welcome to the worldMsinitingishe ndio naanza kuisoma ili twende sawa...!
Haha haha mkuu nawewe unataka uwe talk of the town kama LEGE haya bwana shusha vitu.Mimi binafsi napenda story za kimafia.kiterrorist na kijasusi hivyo nitakuwa mpole hapa.Hiyo nyingine aliyoanzisha sio zangu.Mkuu LEGE akishusha mizigo kama Day of The Jackal au The God father .....Au Air force one mimi hapo ndio kwangu vitu kama34hrsBaada ya kutafakari kwa makin nimegundua lege ameanza kulinga kama bongo movie sasa nimeamua kutunga na mm story ya kijasusi inayoenda kwa jina la SHUNIE hii ni zaidi ya story ntaanza kuiweka kesho mtasahau hii na mm kila siku ntakua nashusha mzingo wa kutosha
Wewe kumbe tunaweza kuzungumza lugha moja.Haha haha mkuu nawewe unataka uwe talk of the town kama LEGE haya bwana shusha vitu.Mimi binafsi napenda story za kimafia.kiterrorist na kijasusi hivyo nitakuwa mpole hapa.Hiyo nyingine aliyoanzisha sio zangu.Mkuu LEGE akishusha mizigo kama Day of The Jackal au The God father .....Au Air force one mimi hapo ndio kwangu vitu kama34hrs