Peniela (Story ya kijasusi)

Swadakta najua ukija basi mzigo unashuka wa nguvu big up kwako
Mtani vipi? Me ndio nimeishtukia wiki hii. Hata kule jukwaa letu pendwa sipiti nipo hapa na hii hadithi. Ndio kwanza nipo page ya 10 Na thread ina page zaidi ya 100. Mdogomdogo nitamaliza.!
 
Mtani vipi? Me ndio nimeishtukia wiki hii. Hata kule jukwaa letu pendwa sipiti nipo hapa na hii hadithi. Ndio kwanza nipo page ya 10 Na thread ina page zaidi ya 100. Mdogomdogo nitamaliza.!
Kwema khabari za siku tele? Duh muda wote huo hukuwa umeistukia? Lakini kama unaenda nayo uzuri poa imekaa vizuri.
Nb :jana naona kote umefanya vizuri ni kicheko babu yenu kawafurahisha jana.
 
Mwenye mawasiliano YA kuvipta vitabu(hard copy) au soft YA Hadith za kijasusi km za kina Willy Gamba, joram kiango;mdunguaji na zinginezo aweke Humu Maana wengine sio washabiki wa love story
 
Kwema khabari za siku tele? Duh muda wote huo hukuwa umeistukia? Lakini kama unaenda nayo uzuri poa imekaa vizuri.
Nb :jana naona kote umefanya vizuri ni kicheko babu yenu kawafurahisha jana.
Ndio Jana mambo yameenda vizuri kotekote
 
Ile kitu nayo nzuri...mambo ya Umbopa na Kibibi Gagula...pia kuna bwana Henry kule...long time sana nilisoma hii kitu...nakumbuka nilikuwa O level Moshi Technical enzi hizo....
 
Mkuu story ya Willy Gamba ambayo plot ilikuwa Nairobi wahusika kuna Dr Njoroge kama sikosei..Lulu sijui...nk. ..kitabu hicho kinaitwaje?wapi naweza pata?nakumbuka kusoma hii kitu nikiwa enzi hizo darasa la tatu...
 
Huyu jamaa Willy Gamba anatoa burudani tosha.Hata hivyo nimekunwa sana na PENIELA .jitahidi mkuu tunakusubiri kwa hamu.Mchecheto wa kutaka kujua hatima ya mambo ni kubwaaa!!!!
 
Ile kitu nayo nzuri...mambo ya Umbopa na Kibibi Gagula...pia kuna bwana Henry kule...long time sana nilisoma hii kitu...nakumbuka nilikuwa O level Moshi Technical enzi hizo....
Inaitwa Usiku wa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…