Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Swadakta najua ukija basi mzigo unashuka wa nguvu big up kwako
Mtani vipi? Me ndio nimeishtukia wiki hii. Hata kule jukwaa letu pendwa sipiti nipo hapa na hii hadithi. Ndio kwanza nipo page ya 10 Na thread ina page zaidi ya 100. Mdogomdogo nitamaliza.!
 
Mtani vipi? Me ndio nimeishtukia wiki hii. Hata kule jukwaa letu pendwa sipiti nipo hapa na hii hadithi. Ndio kwanza nipo page ya 10 Na thread ina page zaidi ya 100. Mdogomdogo nitamaliza.!
Kwema khabari za siku tele? Duh muda wote huo hukuwa umeistukia? Lakini kama unaenda nayo uzuri poa imekaa vizuri.
Nb :jana naona kote umefanya vizuri ni kicheko babu yenu kawafurahisha jana.
 
Mwenye mawasiliano YA kuvipta vitabu(hard copy) au soft YA Hadith za kijasusi km za kina Willy Gamba, joram kiango;mdunguaji na zinginezo aweke Humu Maana wengine sio washabiki wa love story
 
Allan kwataman na mzee Makumazan ni sheeda. Mzee ye hatumii manati ya kizungu Bali anatumia shoka tuu. Anakimbia sambamba na farasi. Ile story ni balaa.

Vya Musiba nimesoma Hofu,Njama,Kikosi cha kisasi,Hujuma na kuna kimoja ila sikikumbuki ni muda mrefu. Sijaona mwandishi wa riwaya za kipelelezi kwa kiswahili anaemfikia Musiba. Ben Mtobwa alijitahidi na Joram kiango lakini Willy Gamba ni kiboko
Ile kitu nayo nzuri...mambo ya Umbopa na Kibibi Gagula...pia kuna bwana Henry kule...long time sana nilisoma hii kitu...nakumbuka nilikuwa O level Moshi Technical enzi hizo....
 
61d2046fa033d964a34f396d7299c37b.jpg
 
mkuu siunajua hizi ni kazi za watu na wana hati miliki nazo na nikosa kuiweka hapa bila idhini yao.hussen tuwa yupo hai na sasa wana umoja wao unao itwa UWARIDI kitu moja wapo wanachokisimamia ni hiki cha kusambaza kazi zao bila idhini yao kama unataka hizo story kama mdunguaji na mkimbizi vitabu vipo na vinatumika mpaka vyuoni so nunua tu vitabu mkuu wangu. tena kama cha mdunguaji vipo vingi san
Mkuu story ya Willy Gamba ambayo plot ilikuwa Nairobi wahusika kuna Dr Njoroge kama sikosei..Lulu sijui...nk. ..kitabu hicho kinaitwaje?wapi naweza pata?nakumbuka kusoma hii kitu nikiwa enzi hizo darasa la tatu...
 
Huyu jamaa Willy Gamba anatoa burudani tosha.Hata hivyo nimekunwa sana na PENIELA .jitahidi mkuu tunakusubiri kwa hamu.Mchecheto wa kutaka kujua hatima ya mambo ni kubwaaa!!!!
 
Back
Top Bottom