mambo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 2,371
- 5,602
Siamini kama kumepambazuka .....sijawahi kuwa teja hivi.Mara ya mwisho kuwa teja hivi ilikuwa wakati naangalia 24hrs series for the first time niliugua kabisa na wakati naangalia The God father part zote tatu hii niliangalia mpaka asuhi kabisa.Sikutegea kuwa Peniela anaweza kunifanya hivi ....LEGE🙄🙄🙄🙄wacha kupambazuke .