Peniela (Story ya kijasusi)

wacha kupambazuke .
Siamini kama kumepambazuka .....sijawahi kuwa teja hivi.Mara ya mwisho kuwa teja hivi ilikuwa wakati naangalia 24hrs series for the first time niliugua kabisa na wakati naangalia The God father part zote tatu hii niliangalia mpaka asuhi kabisa.Sikutegea kuwa Peniela anaweza kunifanya hivi ....LEGEπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
24hrs ilinifanya kuwa mtumwa ndani ya wiki nzima sikuangalia hata taarifa ya habari. Hadi leo haipiti wiki bila kuiangalia japo kidogo
 
Mkuu Lege hodiiiiii...... Nimekuja na mkeka kabisa nitandike???[emoji85]
 
katika zote nilizo wahi kusoma lakni hii ni mwisho hapa ni watu wawili tu wenye uwezo wa kushindana na hii nao ni Joram Kiango na Willy Gamba . Hatahivo kwa utundu wa Anitha inaifanya hii kuwa juu Zaidi.
Mkuu itakuwa hujawahi kuifuatilia WIMBO WA GAIDI
 
Hivi kumepambazuka kweli ama macho yangu yananidanganya?
 
LEGE, post usiku saa tano mkuu naona mambo yanazidi kuingiliana.
 
Mkuu hyo the godfather ni kitabu au ni move?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…