Hii ndiyo hadithi nzr kila mmoja hakuja inaishaje, tungekuwa na watu wanaojua kuiandika kwenye scrip, na kuiigiza kama alivyo iwakilisha mwandishi, huenda ingekuwa video bora kabisa kuwahi kuwepo ktk africa...
Tatzo linalotukumba ni mitaji, teknolojia na waigizaji, ndiyo maana unakuta story kama hii inauzwa 4500,bt ilifaa iuzwe zaidi ya hapo, na mmliki wa story hii nw angekuwa tajir mkubwa...
Mwisho nimpongeze, japo cjui kama imeisha ila amejitahita, yapo makosa machache kwenye kuchanganya majina, badala ya kumtumia anita, kunakipindi akatumia penieli,
Halafu pia imeonekana kuwa kunaudhaifu mkubwa ktk ulinzi wa rais,
Wengi hawakupenda alivyo maliza, ila huo ndiyo uandishi...