Peniela (Story ya kijasusi)

Prob zero mkuu lete mambo
 
Yaan hebu fikiria kumuonesha kule alikomficha mke wa Deusi, yaan alimpeleka Elibariki itadhan Peniela anapelekwa supermarket na Kareem.
But mkuu mtunzi katonyesha no body is perfect so udhaifu wa mathew ni overtrust.
 
MKUU IPIGE HIVYOHIVYO HATA HIVYO UMEJITAHIDI MNO KUTUVUMILIA SANA.INGEKUWA MTU MWINGINE ANGEPATWA NA HASIRA TU ATUBWATUKIE.LEGE wewe ni mstaarabu
 
nisubilini naimalizia now kui update firefox ili niweze kupata whatsApp kwenye laptop
 
Mkuu hizo firefox na watsup nasali zikutii kabisa umalize kazi yako
nisubilini naimalizia now kui update firefox ili niweze kupata whatsApp kwenye laptop
 
Tunafikaje huko whatsapp
 
But mkuu mtunzi katonyesha no body is perfect so udhaifu wa mathew ni overtrust.
Labda kama unamaanisha mtunzi ndo hakuwa perfect, angalia Matthew bila kujali yuko wapi lazima ajitambulishe kuwa yy ni mpelelezi, muangalie Edmund bila kuwafahamu vzur Peny na Matthew anajisema yy CIA jambo ambalo hata John hakuliweka waz kwa Matthew. Weaknesses kama hazjtokezi kwa jasusi. Jasusi anaweza kuwa weaknesses nyingi ila sio ya Ku expose identity yake. Take time na fuatilia ujasusi utagundua Ku expose identity can cost your agency.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…