Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Prob zero mkuu lete mambowakuu nilikumbwa na tatizo la kimitambo kidogo .nilienda jukwaa la tech kule kuna ishu nili down load basi ndio ukawa mwisho wa kupata network niliweka modem holaa nikitumia wifi napo horaa .ikanibidi kubadili window now mambo yanakwenda fresh .iwe isiwe story lazima leo iishe .lazima niimalize na wale mnao lalamika story inakatwa katwa story ipo yote mwanzo mwisho kwenye mfumo wa pdf so na mkisema ikatwe kwa mpangilio tutakesha .komaeni nayo hivyo hivyo ukitaka uzuri na mtiririko nendeni kule watsapp
But mkuu mtunzi katonyesha no body is perfect so udhaifu wa mathew ni overtrust.Yaan hebu fikiria kumuonesha kule alikomficha mke wa Deusi, yaan alimpeleka Elibariki itadhan Peniela anapelekwa supermarket na Kareem.
Kwahiyo sasa imekaa sawa unakuja sio ?karibu tena mkuunipo mkuu mitambo ilikorofisha kidogo
MKUU IPIGE HIVYOHIVYO HATA HIVYO UMEJITAHIDI MNO KUTUVUMILIA SANA.INGEKUWA MTU MWINGINE ANGEPATWA NA HASIRA TU ATUBWATUKIE.LEGE wewe ni mstaarabuwakuu nilikumbwa na tatizo la kimitambo kidogo .nilienda jukwaa la tech kule kuna ishu nili down load basi ndio ukawa mwisho wa kupata network niliweka modem holaa nikitumia wifi napo horaa .ikanibidi kubadili window now mambo yanakwenda fresh .iwe isiwe story lazima leo iishe .lazima niimalize na wale mnao lalamika story inakatwa katwa story ipo yote mwanzo mwisho kwenye mfumo wa pdf so na mkisema ikatwe kwa mpangilio tutakesha .komaeni nayo hivyo hivyo ukitaka uzuri na mtiririko nendeni kule watsapp
Mkuu ukimaliza huku uje kwenye viporo hasa kule kwa miss tznipo mkuu mitambo ilikorofisha kidogo
nisubilini naimalizia now kui update firefox ili niweze kupata whatsApp kwenye laptop
Tunafikaje huko whatsappwakuu nilikumbwa na tatizo la kimitambo kidogo .nilienda jukwaa la tech kule kuna ishu nili down load basi ndio ukawa mwisho wa kupata network niliweka modem holaa nikitumia wifi napo horaa .ikanibidi kubadili window now mambo yanakwenda fresh .iwe isiwe story lazima leo iishe .lazima niimalize na wale mnao lalamika story inakatwa katwa story ipo yote mwanzo mwisho kwenye mfumo wa pdf so na mkisema ikatwe kwa mpangilio tutakesha .komaeni nayo hivyo hivyo ukitaka uzuri na mtiririko nendeni kule watsapp
Labda kama unamaanisha mtunzi ndo hakuwa perfect, angalia Matthew bila kujali yuko wapi lazima ajitambulishe kuwa yy ni mpelelezi, muangalie Edmund bila kuwafahamu vzur Peny na Matthew anajisema yy CIA jambo ambalo hata John hakuliweka waz kwa Matthew. Weaknesses kama hazjtokezi kwa jasusi. Jasusi anaweza kuwa weaknesses nyingi ila sio ya Ku expose identity yake. Take time na fuatilia ujasusi utagundua Ku expose identity can cost your agency.But mkuu mtunzi katonyesha no body is perfect so udhaifu wa mathew ni overtrust.
+255715255490powa mkuu haina shidaa.
na kikiisha hicho tunahamia kulee kwenye WIMBO WA GAIDI hiyoo sasa ni zaidi ya peniela
Sayansi & teknohama hazihitaji miujizaMkuu hizo firefox na watsup nasali zikutii kabisa umalize kazi yako