Shukran LEGE kwa kutimiza ahadi ila kuhusu mtunzi kama nilivyosema mwanzo hawezi tena kunishawishi ila namsifu makosa madogo madogo yapo ila amekonga nyoyo za watu wengi ambacho sio kitu kidogo.
Who's willy gamba.?
Hamjui Willy Gamba hakika amekosa utamu.Duhhhh we utakuwa ni kizazi cha Bongo fleva hayo mambo ya Bakulutu
We jamaaaa ndo unasababishagaa hiii kituuu icwekwee n ikiwekwaa inakuwa imekatwa katwaa punguzaa kirangaa basiii na kisebusebuuuIla papuchi achana nayo dah hivi nikifikiria jinsi Peniella alivyomzaba kibao President Joshua wakiwa chumbani nachoka kabisa.
Semaa amekuvumiliaaa we ndo unavurumishaa mijikoment Kama mvuaMKUU IPIGE HIVYOHIVYO HATA HIVYO UMEJITAHIDI MNO KUTUVUMILIA SANA.INGEKUWA MTU MWINGINE ANGEPATWA NA HASIRA TU ATUBWATUKIE.LEGE wewe ni mstaarabu
Mtunzi ameacha maswali mengi bila majibu. Season 1-4 zilikuwa nzuri sana zenye kujitosheleza almost kwa kila idara. Huenda mtunzi alichoka au kuishiwa mawazo Maana hakustahili kumaliza kama alivyomaliza. BTW, ameonesha kuwa ana kipaji kizuri cha kutunga riwaya, he caught my attention yaliobaki ni mapungufu tu ya kawaida.Hivi zile hela alizowekewa rais kwenye zile account mbili za kingine atazichukua Nani?maana raisi amekufa na aliyeziweka amekufa pia nina uhakika Dr kigomba hawezi kuzichukua hizo pesa maana yupo gerezani..........Ana alikuwa mahututi alikufa au alibaki hai? Anita alizikwa bila ndugu zake kujua ......vip maisha ya edimud na mke wake huko marekani hawakumtafuta kwa nn kawasaliti......Nani alifata kuwa raisi baada ya rais kufa ikiwa wote waliokuwa wamepangwa kungombea walikufa ......
Natamani kuwe na part tu .....but lazima season 5 ibadilishwe ndiyo inawezekana kupatikana ..........
Hongera mwandishi ......LEGE big up brother msalimie mwandishi
Hahahs njoo tutunge chetu dea mtunzi kazingua mwishoniNakwenye kitabu mwisho upo hivi au?! Kama mwisho ni tofauti nahitaji kitabu.
Cc: LEGE
Udhaifu mkuu katika hii stori ni namna waovu wanavyofikia hatma yao. Yani mtu mwema kama anitha anakufa kifo kibaya wakati waovu kina kogomba na wengineo wanakufa lakini sio katika kiwango kinachotakiwa.
Nilitegemea kuona dr joshua akiteswa sana au kuhukumiwa na kufilisiwa, sijapenda hatma ya anna ila hadithi imetulia
Yaani Peny anagawa utamu mpaka roho inaniuma asee naona wivu kabisa anavyosuck hiyo mizee[emoji24] [emoji24] [emoji24]Daahhh hyu mtoto penny hatari nahisi bwana jailer alishaupiga huu mzigo. Hyu c marahage ya mbeya Bali ni mlenda kabisa haiitaji moto kuulainisha hata jiwe unafaa
Upembuzi yakinifu. Umenikumbusha uchambuzi wa vitabu sekondary fani na maudhui.Lege, nikupongeze sana,
Mhim ni kuwa hii story inamafunzo mengi sana, ukiachia mbali usaliti ila ni kwa jinsi gani viongozi huyaweka maisha ya raia wao rehani,
Ukisoma kwa kutafakari utajua kuwa viongozi wa kisiasa hutumia ukubwa wa madaraka kujinufaisha,
Uwepo wa methew na peniel, mwanamke mzr lkn alie msaliti mtu wa karib sana, hii picha inaonesha ubinadam unachanamoto kubwa....
Ushindwe na ulegeeMwisho ovyooo kama bongo movie
Mfyoooooooo