Boogman
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 2,439
- 5,612
Mkuu Lege niliweka akiba ya maneno riwaya ifike tamati,napenda kuchukua wasaa huu mimi binafsi kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu pia kukupongeza kwa uvumilivu na busara ya hali ya juu uliyoionyesha humu,umevumilia lawama,kashfa hata na matusi hongera na pole sn ndg yng mola akubariki uendelee na moyo huo huo!Shukran jazila!!!