Peniela (Story ya kijasusi)

Peniela (Story ya kijasusi)

Mkuu Lege niliweka akiba ya maneno riwaya ifike tamati,napenda kuchukua wasaa huu mimi binafsi kukushukuru kwa dhati ya moyo wangu pia kukupongeza kwa uvumilivu na busara ya hali ya juu uliyoionyesha humu,umevumilia lawama,kashfa hata na matusi hongera na pole sn ndg yng mola akubariki uendelee na moyo huo huo!Shukran jazila!!!
 
PENIELA%20%20SEASON%205
Shukran LEGE kwa kutimiza ahadi ila kuhusu mtunzi kama nilivyosema mwanzo hawezi tena kunishawishi ila namsifu makosa madogo madogo yapo ila amekonga nyoyo za watu wengi ambacho sio kitu kidogo.
 
good work mtunzi,ila jambo ni mtunzi amesahau kuwafanya washiriki kutekeleza ahadi zao ipasavyo,mfano wazazi wa Edson hatukuonyeshwa kama walikuja kupewa mrejesho juu ya aliyesababisha kifo cha mtoto wao,huku mwisho baada ya Anitha kuuliwa na Peniela ,Mathew alijiapia kuwa lazima atahakikisha kirusi Abby kinatua mkononi mwake lakini tukaambiwa kirusi kimetawanyika tayari,ila yote kwa yote kazi ni nzii na nipo tayari kuchangia laki moja kama kutakuwa na hitajiko la kuandaa tamthilia ya riwaya hii
 
Big up sana bwana Lege,

Hujatuangusha kuanzia mwanzo mpaka mwisho, umeenda vizuri mpaka kuikamilisha sehemu ya mwisho. Ijapokuwa sehemu ya mwisho haijavutia sana (ugonjwa wa waandishi wengi isipokuwa TUWA) lakini bado story ilikuwa ya kusisimua sana.

Naomba nguvu hii uihamishie kwa Miss Tanzania kule tunasubiri mkuu.

BACK TANGANYIKA
 
Ila papuchi achana nayo dah hivi nikifikiria jinsi Peniella alivyomzaba kibao President Joshua wakiwa chumbani nachoka kabisa.
We jamaaaa ndo unasababishagaa hiii kituuu icwekwee n ikiwekwaa inakuwa imekatwa katwaa punguzaa kirangaa basiii na kisebusebuuu
 
MKUU IPIGE HIVYOHIVYO HATA HIVYO UMEJITAHIDI MNO KUTUVUMILIA SANA.INGEKUWA MTU MWINGINE ANGEPATWA NA HASIRA TU ATUBWATUKIE.LEGE wewe ni mstaarabu
Semaa amekuvumiliaaa we ndo unavurumishaa mijikoment Kama mvua
 
Hivi zile hela alizowekewa rais kwenye zile account mbili za kingine atazichukua Nani?maana raisi amekufa na aliyeziweka amekufa pia nina uhakika Dr kigomba hawezi kuzichukua hizo pesa maana yupo gerezani..........Ana alikuwa mahututi alikufa au alibaki hai? Anita alizikwa bila ndugu zake kujua ......vip maisha ya edimud na mke wake huko marekani hawakumtafuta kwa nn kawasaliti......Nani alifata kuwa raisi baada ya rais kufa ikiwa wote waliokuwa wamepangwa kungombea walikufa ......
Natamani kuwe na part tu .....but lazima season 5 ibadilishwe ndiyo inawezekana kupatikana ..........

Hongera mwandishi ......LEGE big up brother msalimie mwandishi
Mtunzi ameacha maswali mengi bila majibu. Season 1-4 zilikuwa nzuri sana zenye kujitosheleza almost kwa kila idara. Huenda mtunzi alichoka au kuishiwa mawazo Maana hakustahili kumaliza kama alivyomaliza. BTW, ameonesha kuwa ana kipaji kizuri cha kutunga riwaya, he caught my attention yaliobaki ni mapungufu tu ya kawaida.
Pia LEGE, nakushukuru kwa namna ulivyoshusha mzigo, una kifua kipana Maana baadhi yetu tulizingua Hasa kwenye ule msoto wa wiki mbili.
 
Nakwenye kitabu mwisho upo hivi au?! Kama mwisho ni tofauti nahitaji kitabu.

Cc: LEGE
 
LEGE nashukuru ,Pamoja na yote niliyokumbana nayo katika kipindi cha kufuatilia hii Riwaya,Nikiri kwamba imenipa faraja kubwa,
Nakubaliana na wengi kuwa and mwisho haujashiba kama ilivyotarajiwa .
Pia nashukuru Sana kunikutanisha na [HASHTAG]#Shunie[/HASHTAG] Dada ninayempenda sana,Na uhakika atatua katika mikono salama Ya [HASHTAG]#Steyn[/HASHTAG] ili kwenda kuogelea katika Dimbwi la Hapa mtaani kwetu tukishindwa kwenda Zanzibar.
 
Udhaifu mkuu katika hii stori ni namna waovu wanavyofikia hatma yao. Yani mtu mwema kama anitha anakufa kifo kibaya wakati waovu kina kogomba na wengineo wanakufa lakini sio katika kiwango kinachotakiwa.
Nilitegemea kuona dr joshua akiteswa sana au kuhukumiwa na kufilisiwa, sijapenda hatma ya anna ila hadithi imetulia

Utam wa story ni kuvuta hisia na kushindwa kutabir nin kitafuata
 
Lege, nikupongeze sana,

Mhim ni kuwa hii story inamafunzo mengi sana, ukiachia mbali usaliti ila ni kwa jinsi gani viongozi huyaweka maisha ya raia wao rehani,

Ukisoma kwa kutafakari utajua kuwa viongozi wa kisiasa hutumia ukubwa wa madaraka kujinufaisha,

Uwepo wa methew na peniel, mwanamke mzr lkn alie msaliti mtu wa karib sana, hii picha inaonesha ubinadam unachanamoto kubwa....
 
Nahisi kwa namna ambavyo hii story ilivyo huenda inamuendelezo, ukitaangalia tu utaona ile familia ya methew na watt wake, na pia mahusiano ya marekani na tz, kunajambo la kidiplomasia hapo...

Halafu ni mhim kujua kuwa kunakazi duniani ukianza kuifanya mpka mwisho wa maisha yako ndipo unaiacha..

Miongoni mwa kazi hyo ni ya kina methew, hata kama ukutane na nini huwezi kuiacha, watapumzika tu ila watarudi tu....
 
Daahhh hyu mtoto penny hatari nahisi bwana jailer alishaupiga huu mzigo. Hyu c marahage ya mbeya Bali ni mlenda kabisa haiitaji moto kuulainisha hata jiwe unafaa
Yaani Peny anagawa utamu mpaka roho inaniuma asee naona wivu kabisa anavyosuck hiyo mizee[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Lege, nikupongeze sana,

Mhim ni kuwa hii story inamafunzo mengi sana, ukiachia mbali usaliti ila ni kwa jinsi gani viongozi huyaweka maisha ya raia wao rehani,

Ukisoma kwa kutafakari utajua kuwa viongozi wa kisiasa hutumia ukubwa wa madaraka kujinufaisha,

Uwepo wa methew na peniel, mwanamke mzr lkn alie msaliti mtu wa karib sana, hii picha inaonesha ubinadam unachanamoto kubwa....
Upembuzi yakinifu. Umenikumbusha uchambuzi wa vitabu sekondary fani na maudhui.
 
Back
Top Bottom